Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea.
Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu.
Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa.
Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi.
Tunatumaini hii hali itaendelea kuwa shwari Hadi mwisho wa Kampeni.