siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna haja ya Mwenyekiti wa Chama chochote cha Siasa kuwaasa watu wake wasichane mabango na kuwadhuru wengine?

    Amani, Uhuru, haki na upendo ndio msingi wa Tanzania yetu tuliyo nayo sasa. Je kuna haja ya Mwenyekiti wa Chama cha siasa yeyote yule kuwaasa wafuasi wa chama chake wasichane mabango na kuwadhuru wengine? Kama hakuna haja, je kitakacho endelea itakuwa ni miongoni mwa maagizo kutoka kwake? Au...
  2. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga kuelekea Uchaguzi, Oktoba 18 kama wagombea urais wangeshiriki ingetumika kutunishiana umaarufu siasa za urais

    Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi. Kwa bahati mbaya kabisa Mpira wa miguu hasa timu za Simba na yanga uhusishwa Sana na siasa. Ingawa haijulikani...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo. Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)? Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi hawapaswi kuuunganisha wahalifu na kabila wala chama chao cha siasa, waache mara moja tabia hii mbaya

    Kuna mambo mengi polisi wa Tanzania wanatuhumiwa kukosa ujuzi wa kazi zao (professionalism) na hata kuwepo kwa madai kwamba tatizo la polisi wetu ni kwamba wengi wao ni wale ambao hawakuwa na matokeo mazuri shuleni. Labda ni kweli. Na labda kuwepo kwa uwezekano huu ni pale ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Ubeberu, maendeleo na siasa zetu -- kipi ni kipi?

    Wakuu habarini za muda huu. Kwenye kipindi hiki cha kampeni kumezuka na kundi flani la wa hafidhina ambao wamekuwa wakidai kuwa mgombea moja amenunuliwa na mabeberu, na atatumika na mabeberu kuharibu uchumi wetu. Baada ya utangulizi huo nilipata ukakasi kidogo juu ya hoja hiyo nikaamua...
  8. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Zitto wakati unagombea mwaka 2015, uliahidi kutoa mikopo kwa vijana hususani waendesha pikipiki

    Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini. Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Vitendawili vya uchaguzi(1): Kupinga sera ya kutenga dini na siasa ni kunadi sera ya kuunganisha kofia hizo

    USULI Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili kimojawapo ni swali lifuatalo: Kati ya Taifa linalotekeleza sera ya kutenganisha kofia ya kisiasa na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Mutungi avitaka Vyama vya Siasa kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kisiwandui, Zanzibar: Mkutano wa Humphrey Polepole na waandishi wa habari

    Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka udiwani. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri. ======== Polepole: Kesho October 03 2020 katika Viwanja vya...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa na sanaa ni mapacha kama mapambio na mahubiri

    Leo nimemuona Askofu fulani anasema hawezi kuhubiri mpaka wanakwaya waimbe, pia kikundi cha sifa na kuabudu kiimbe nyimbo za kutosha na nzuri. Pia, muimbishaji yule mwenye uwezo mkubwa afanye huduma hiyo. Nimejaribu kuangalia siasa za CCM ambapo nyimbo za wasanii zinaimbwa nyingi zikieleza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Video: Watanzania na mahaba niue ya siasa. Tafadhali tuzingatie usalama kwanza

    Mambo ni kama hivi
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Shibuda akemea siasa za majimbo

    Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.
  18. JamiiForums Tanzania Siasa sio Uadui, Gambo na Lema wapiga picha pamoja

    WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika mgahawa wa Safari Bistro jijini humo. Wawili hao ambao wamekuwa na mchuano mkali kuwani jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC wanavyoajiri Wasaidizi wa Uchaguzi wanatambuaje wanayemuajiri sio mshabiki wa chama cha siasa?

    Waungwana katika kupambana tunajua zikitokea fursa huwa tunazichangamkia kwa nguvu sana. Kila mwaka wa uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi huwa inatoa nafasi za kazi za muda mfupi ili kusaidia shughuli za uchaguzi. Ni wazi kuwa kwa miaka mingi kazi hizi zimekuwa zikiwa njia sahihi ya walimu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

    Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani. Hii Ina maana gani kwa uchaguzi? Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…