Tundu lisu ni mwanasheria mzuri sana anajua lipi ni kosa kisheria na lipi si kosa kisheria
Kama anajua kuwa kufanya maandamano ya shangwe na bashasha wakati wa musiba wa Mzee Mkapa si kosa kisheria basi atagombea Urais wa JMT
Kama anajua kuwa kuidanganya mahakama kuwa hawezi kuhudhuria...
Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
Habari wakuu.
Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa Youtube? Ahsanteni.
Kitendo cha kukodi gari la matangazo kupita mitaani kuhamasisha watu, kuandaa jukwaa na kuhutubia kwa zaidi ya saa nzima huku ukijitapa namna serikali yako itakavyokuwa na kujaribu kukosoa serikali iliyopo madarakani kwangu hiyo ni kampeni, unaposema serikali yangu mtakayoichagua wakati ukijua...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake.
Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
Wakuu, Hassan Abbas (Daktari) ambaye ni msemaji mkuu wa serikali ameweka rasmi kofuli la uhuru wa habari Tanzania.
Akitoa ufafanuzi leo anasema "Leseni mpya ya vyombo vya habari vya ndani ambavyo vinataka kujiunga na vyombo vya habari vya nje inavielekeza kuwajibika kama vyombo hivyo vya nje...
Mwanasheria Lissu anafikiri siasa ni sheria tu. Anataka kutuaminisha haki ni sawa na sheria. Lengo la kuwepo sheria ni ili kuwepo utawala wa haki. Ili kupata haki kunapotokea mtu kuvunja sheria kunakuepo wanasheria kutafsiri sheria.
Haki ni sawa na kweli, ipo tu. Uanasheria ni taaluma ya...
Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini.
Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi
Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao...
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
Wanajisifu wanaijua sheria kumbe wameikariri sheria ila hawailewi wala hawaifuati
Hawana lolote, muda wote wanaonekana kachanganyikiwa kwasababu ya kukariri sheria wasio ielewa wala kuifuata. Wamebaki ni watu wa kulalamika usiku na mchana ili sheria iwafuate wakati wao hawaifuati. Yote ni...
Mmoja kati ya wachumi duniani anasema tupo katika Enzi ya Taarifa ‘Information age’ (O’Connor, 2005) kwa kiasi kikubwa huyu bwana ameonyesha namna ambayo taarifa zinavywaajiri watu. Katika hilo amezungumzia zaidi technolojia na mapinduzi yake tangu mwaka 1946 ilipoanza ENIAC Kwa kiasi kikubwa...
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona...
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi...
(1) Katiba hutoa madaraka kwa Bunge kupitisha sheria. SHERIA lazima iwe within 4 walls ya katiba-la sivyo sheria ni batili. Sheria inatoa madaraka kwa Waziri au taasisi nyingine (k.m TCRA) kutunga KANUNI. Kanuni lazima ziwe within 4 walls ya sheria mama na Katiba-la sivyo ni batili.
(2)...
Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au sababu nyingine yoyote inayotokana na uchaguzi kufanyika au kukumbwa na kasoro katika siku ya kwanza...