sheria

  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaosoma sheria, jikiteni sasa kwenye sheria za uchaguzi

    Tanzania inapitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana ya kisiasa. Alichojaribu kufanya Magufuli na serikali yake katika hii miaka mitano na resistance aliyoipata hasa kipindi hiki cha uchaguzi ni uthibitisho wa kile ninachokisema. Mfumo wetu wote wa siasa unabadilika mbele ya macho yetu, kuanzia...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania DC Sabaya: Wanaolitumikia Jeshi la Polisi nao ni binadamu na kuna mahali huwa wanafika wanakasirika. Msivunje sheria halafu mnataka huruma nyepesi

    Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu alivunja utaratibu kwa kutaka kufanya kampeni eneo ambalo hakutakiwa kinyume na kanuni za Tume. Kauli...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini IGP Sirro na Jeshi la Polisi hawawashughulikii Wasimamizi wanaokiuka Sheria na kuvuruga Kampeni na Uchaguzi?

    ..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari. ..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa kwa Nec na Wasimamizi wa uchaguzi. ..Je, tatizo ni wanasiasa wakorofi na washari, au tatizo ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

    Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mafao: Kwanini Hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?

    "Kwa nini hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?" Amesikika mdau mmoja aliyeachishwa kazi na bahati mbaya kupata ajira nyingine imekuwa ngumu kwake. Alipofuatilia mafao yake NSSF kaelezwa akae miezi sita ndio atalipwa stahiki zake na atakuwa akilipwa asilimia 33 ya mshahara wake wa awali Huyu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Mutungi avitaka Vyama vya Siasa kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Salaam Wakuu, Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta. Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta. Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni ====== UPDATES: 16:54HRS...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliosomea sheria huzivunja sheria?Na kwanini waliosomea sheria hujidai wapo juu ya sheria?

    Habarini wakuu, Karibuni tutete kidogo hapa, Nina hili swali moja tu wadau wenzangu na swali lenyewe ni hili hapa. Kwanini waliosomea sheria huzivunja sheria?Na kwanini waliosomea sheria hujidai wapo juu ya sheria? Hapa nawaombeni tujadili bila maneno ya matusi twendeni kwa hoja.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

    Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi wa Usalama barabarani lawamani kwa kunyamazia uvunjifu wa sheria za barabara unaofanywa na ccm

    Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano . Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Magufuli wa CCM anakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi waziwazi. Naziomba jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali sana

    Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli. Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

    Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi. Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri NEC: Wekeni Sheria Mgombea atoe ahadi anazoweza kuzitekeleza miaka 5 tu

    Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena. Kwa nini nawaza hivi. Kuna mbunge wa jimbo flani Yeye amekuwa anaahidi zahanati. Miaka 20 sasa ni mbunge lkn kila baada ya miaka mitano...
  15. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Eblate Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAWIRI

  16. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume yaUuchaguzi inaweza kushitakiwa Mahakamani kwa kukiuka Sheria za Uchaguzi au viongozi wake wanaweza kuwajibishwa na Kamati ya Maadili?

    Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin kwa kukiuka Sheria na Kanuni za Uchaguzi zilizoweka kwa mujibu wa katiba ya nchi hii? Nani mwenye...
  17. Zacht

    JamiiForums Tanzania Sheria ambazo hazijaandikwa lakini kila mtu anapaswa kujua na kuzifuata

    1. Usizungumze na mtu aliyevaa earphones Kimsingi unapoteza wakati wako. 2. Usizungumze wakati wa kutafuna au kula. 3.Usiweke picha zako kwenye mitandao ya kijamii wakati umetoa ombi la likizo kazin kuhusu afya yako ya mwili 4. Usitumie "k, hmm" katika mazungumzo yako(chatting)...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Je, kanuni na sheria za Uchaguzi kwa taifa letu zinaruhusu mtu mwenye uraia pacha kugombea nafasi nyeti ya urais?

    Wakuu leo katika press conference ya Ndugu Humphrey PolePole nimemsikia akisema kwamba ana taarifa kwamba kuna mgombea wa Urais ameshapata uraia wa nchi nyingine, ndio maana anachochea watu kufanya vurugu baada ya uchaguzi. Je, sheria na kanuni za uchaguzi mkuu wa nchi yetu zinaruhusu mtu aliye...
  19. N

    JamiiForums Tanzania TBT: Nguli wa sheria Lissu akiwahenyesha polisi, kuna haja ya polisi kufundishwa sheria?

    Lissu hakuanza utukutu leo, Lissu kaanza kuhenyesha watu tangu enzi za Mkapa, wanasheria wa serikali wote waliishamshindwa, hivi huyu mwamba alifundishwa sheria na wahadhiri wa hapa hapa bongo kweli? Huyu mwamba ni moja ya watu wachache wanaoachaga historia kwenye nchi zao. Anyway nimefurahia...
Back
Top Bottom