sheria

  1. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

    Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway. Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours. Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama na mifumo ya sheria inaturudisha nyuma kwenye maendeleo

    Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma. Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yalaumiwa kuingilia mambo ya ndani kwa kupinga sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ya Uganda

    Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au faini. Mswada huo umepingwa vikali na nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani, na Marekani kwa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sheria ya dhamana yakosolewa na Tume ya Hakijinai

    Wakili wa Kujitegemea Zadock Magai amependekeza marekebisho kwenye Kifungu cha 148(4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ili kuipa mahakama mamlaka ya kuamua kutoa au kutokutoa dhamana kwa mshtakiwa. Wakili Magai ametoa mapendekezo hayo katika Tume ya Hakijinai iliyoundwa na Rais Samia...
  9. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50. Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Mnaounga ushoga sheria ya kuwafunga kifungo cha maisha ipo toka 1954

  11. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ardhi kama hii sheria inasemaje? Mtu kununua kiwanja na kupata hati, ila akafungwa jela na Watu wakavamia kiwanja chake

    Habari wadau Nina imani humu kuna wataalamu wa sheria za ardhi. Na pia wapo watu wenye uzoefu na mgogoro wa ardhi kama huu wa baba yangu mdogo. Mwaka 1988 baba yangu mdogo alinunua kiwanja maeneo ya yombo vituka kutoka manispaa ya temeke. Alilipia malipo yote yaliyohitajika. Na kupewa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusiana na watu wanoambukiza virusi wengine kwa makusudi?

    Kuna kijiji nilienda na nilikaa hapo kwa muda fulani , kipindi nikiwa hapo nilishuhudia baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wakiambukizana magonjwa kwa Makusudi kwa mfumo huu, unakuta mwanaume ana mchepuko nje ambae ni mke wa mtu anakuwa na mahusiano nae pamoja na mabinti zake. Kuna Mzee mmoja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni kuandika Katiba Mpya au Kurekebisha Sheria za Chaguzi?

    Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo yahusuyo kazi hii inayokusudiwa kuanza, sote tutakuwa tumepata uelewa wa kutosha, na haitakuwa tena...
  17. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Zingatia Sheria Hizi Wakati Unamtongoza Mwanamke.

    Kutongoza ni mchakato. Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake. Kutongoza kunachukua muda. Kutongoza hakuishi. Kumtongoza mwanamke ni sehemu ya maisha yako. Kwenye muda wa huo mchakato, fuata haya. ...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha EFF na Malema walaani vikali sheria mpya dhidi ya mashoga Uganda

    Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ramadhani ya mwaka huu imeanza na mimi. Kwani ni sheria kumnunia mwanaume ndani ya mwezi huu?

    Baada ya kumaliza sala za asubuhi naingia zangu kwa mama Pima kupata chai. Nakuwa mteja wa kwanza kufika hapo. Mama Pima anabaki akinikodolea macho! Namuuliza chai vipi? Au hauuzi? Anaamua kunichemshia kikombe kimoja cha chai ya majani machungu na kiporo cha chapati mbili. Nampisha afanye usafi...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Pale Msimamizi wa Sheria anapovunja Sheria

    Pale anayetangaza na kusisitiza "Kila abiria afunge mkanda wa usalama, basi haliwezi kuondoka kama kuna mtu hajafunga mkanda wa usalama" Yeye mwenyewe amekaa sehemu isiyo na mkanda wa usalama wala sehemu ya kufunga kamba kujikinga asitokee kwenye kioo ikiwa zitafungwa break za ghafla. Pale...
Back
Top Bottom