Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba.

Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa kanuni ni kufungiwa kusajili, kuwekewa ukomo wa kusajili, kuvuliwa mataji yaliyopita au kushushwa daraja

Ndani ya kipindi ambacho klabu inatuhumiwa ilitwaa ubingwa wa EPL mara tatu, FA Cup na Kombe la Carabao mara tatu.
------

Man City face Premier League EXPULSION or points deduction after they’re charged with more than 100 financial breaches

MANCHESTER CITY could be EXPELLED from the Premier League after they were charged with more than 100 alleged breaches of financial rules.

Other possible punishments include a points deduction for the reigning champions, transfer bans, spending limits and even the stripping of previous titles.

The investigation into the club's dealings has lasted for four years.

And now the Premier League have published their findings on their website - and it does not make good reading for the Etihad club, although at this stage they have been charged but not found guilty.

The charges relate to breaching regulations over nine seasons between 2009 and 2018, with the investigation starting way back in December 2018.

That was prompted following the publishing of leaked documents by German website Der Spiegel - with the investigation focusing on three specific areas.

The first alleged issue is "under-age players were pressured to sign contracts with City through monetary payments".

Secondly, that Abu Dhabi sponsors "provided only a portion of their payments to the club", with owner Sheikh Mansour stumping up the rest, in turn overstating the sponsorship income.

Lastly, ex-boss Roberto Mancini received a "significant portion" of compensation from a "fictitious consultancy contract" when he left the club in 2013.

It is also claimed by the Premier League in their unprecedented findings that City did not comply with Uefa regulations surrounding club licensing and financial fair play in 2013-14 and between 2014-15 and 2017-18.

Source: The Sun
 
Hata uefa walikuja hivi hivi ,wakasema wanataka kuipiga ban man city isicheze uefa Kwa kuvunja sheria (ffp ) mansour akaona msinichezee leten ushahidi ,akamwaga wanasheria 23 uefa wakasema hatuna ushahidi basi endeleni ....Sasa naona PL nao wanakuja kuataka hela za mansour...
 
Write your reply... Chochote kinaweza kuwakuta kuanzia Sasa Ila itategemea na ushahidi uliowekwa mezani
 
Back
Top Bottom