sheria

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sheria, naombeni mnisaidie

    Ikitokea mtu kakamatwa kipindi A ambapo Sheria inasema hivi halafu pakatokea mabadiliko ya Sheria ambapo labda kwa Sheria za kipindi A angekutwa na hatia na kuhukumiwa lakini hukumu ilichelewa na kuja kutolewa kwenye kipindi cha mabadiliko ya sheria. Je, utaratibu upi utatumika kumhukumu?
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mshauri wa Sheria na Mshauri wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President – Legal Affairs). Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza tarehe 20...
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended. Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Thea Ntara ahoji kuhusu Sheria Mpya ya Umri wa Ndoa ili uanzie miaka 18

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea muda gani wa kufanya mabadiliko ya sheria!?, pia hamuoni haja ya kusitisha maoni ya Wadau kwasababu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kati ya Miili 1,294 iliyofukuliwa ni 52 pekee ilipata idhini ya Mahakama, mingine ilifukuliwa kinyume cha Sheria

    Katika uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam, unaonesha kuwa tangu mwaka 2015 hadi 2021, kulikuwa na matukio ya kufukua miili 1,294. Kati ya matukio hayo, yaliyoruhusiwa kufukuliwa kwa amri ya mahakama ni 52 pekee. Aidha, Mahakama ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Duniani sheria, haki mbinguni

    Katika harakati za kupiga vita Ushoga yanishangaza elimu ama akili inayotumika kisheria.. SHOGA anakamatwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, Jela ambayo kuna Wanaume njaa wasio na wake! Je, hii ni adhabu au starehe kwao.🤔🤔 Je, kumpeleka Shoga Magereza sio kama tunapandikiza mbegu ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly James Ntate aomba Sheria za Utumishi wa Umma zilizopitwa na wakati zifanyiwe marekebisho

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na kuiomba Wizara ifanye baadhi ya Sheria. Mhe. Ntate ameiomba Wizara ya Utumishi ikaangalie upya sheria...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

    Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka? Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

    Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
  13. COMORIENNE

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia?

    Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Upandaji Mazao Hifadhini ni Ukiukwaji wa Sheria

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo sheria itachukua mkondo wake Ameyasema hayo leo...
  15. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  17. kapolo

    JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na kutoka damu. 4. Mechi itaisha kama kila mchezaji atakua amechoka. 5. Hakuna free kick, kitu kama...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro akiri utekelezaji wa Sheria ya 'Plea Bargain' ulikuwa na mapungufu

    Waziri wa Sheria na Katiba, Damas Ndumbaro amesema utekelezaji wa Sheria ya Makubaliano ya Kukiri Makosa kwa Watuhumiwa katika kipindi kilichopita ulikuwa na makosa ikiwemo Mkurugenzi wa Mashtaka (DDP) kuhodhi mamlaka yote ya kesi. Ndumbaro amesema mapungufu mengine ni sheria kutomwangalia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

    TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu. Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
Back
Top Bottom