Hii sheria imewekwa na nani na kwa faida ya nani?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
1,221
1,269
Ni Jumamosi nyingine ya mwisho wa mwezi, kama kawaida kila mfanyabiashara yuko nje ya ofisi yake akisubiri saa inne ifike ndio afungue biashara yake, vinginevyo apambane na mkono wa sheria.

Hivi huu utumwa ni nani ameuleta?
Kiasi cha kuogopwa hivi? Ipo kisheria kwenye katiba? Mwisho wa siku gharama zote za uendeshaji zinamrudia mfanyabiashara?
Leseni, tra, manispaa, jiji, kodi ya pango, fire, takataka nk nk, hivi hela zitapatikana kwa kutupangia muda wa kufanya biashara?

Kama ni usafi mapema tu tumemaliza, shida nini hasa?
 
Back
Top Bottom