sheria

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995

    Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  3. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA SEHEMU YA NNE (4) mr.georgefrancis21@gmail.com Ni siku nyingine tena tunakutana katika muendelezo wa mada yetu ambapo hapa tunapata elimu kuhusu makosa ya rushwa na adhabu zake kama kichwa cha somo kinavyoeleza. Sasa bila...
  4. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

    Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake Namaanisha nini? SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake...
  5. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa Sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA. SEHEMU YA KWANZA (01) Mr. George Francis Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema, “Kwa hivyo, tukatengeneza sheria ili tuwafundishe watu hawa kwamba jambo hili hatulipendi...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa anajiita Chief Godlove kwani hakuna sheria inayokataza kutukana mitandaoni? Yeye Kila siku Ni kutukana watu wasio matajiri

    Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu acha kujichanganya. Mapenzi ya jinsia moja ni faragha iliyokinyume na sheria. Lazima iingiliwe na vyombo vya dola. Ulijichanganya mwenyewe

    Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba. Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa. Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe. Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

    Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya. Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mambo ya ndani, Waziri wa Kazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali msaidieni Rais kudhibiti wageni wanaoajiriwa bila vibali nchini

    Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa wafanyabiashara wakubwa kukwepa Kodi nchini. Nimesoma sheria ya za Uhamiaji nikashtuka kubaini kwamba kampuni...
  15. vibertz

    JamiiForums Tanzania Nashauri Yanga itafute mtu wa sheria kutoka nchi za nje

    Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini Februari 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2023 PROF. EDWARD HOSEAH, RAIS WA TLS Mh. Rais, dhana ya Suluhu kutatua migogoro na kukuza uchumi imekuja...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
  18. pancras utenga

    JamiiForums Tanzania Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
Back
Top Bottom