Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.
Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA.
Kila mtu sasa ni;
Yanga
Medali za wachezaji
Fainali
Tukio la kuitwa Ikulu
Mabishano yasiyo na tija...
Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho.
Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4...
Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi.
Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga.
Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA
MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023
Changamoto kwenye mradi wa LNG:
(i) Hakuna taarifa ya kufanyiwa mapitio ya PSA katika vitalu na 1, 2...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema;
"Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema, wametusikia na sasa wameuweka wazi kwamba sasa wataujadili.Hii ndiyo faida ya vyama vingi kwamba...
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....
Jambo linalonistua ni kwamba, wengi...
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu.
Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga...
Leo nimepitia sheria ya Ukimwi/HIV iliyopitishwa mwaka 2008 baada ya kusikia mwamba wa Mara huko kafungwa miaka 7 kwa kusambaza Ukimwi makusudi.
Kifungu cha 47 cha sheria hiyo kinasema mtu yeyote kwa makusudi akasambaza virusi vya ukimwi kwa mtu mwingine atakuwa ametenda kosa na akithibitika...
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.
Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi!
Kama ni...
1. Kwanza kabisa napenda kusema kwamba Mimi binafsi huwa sipendi na wala sina utamaduni wa kupenda kutoa maoni yoyote humu mitandaoni wala kwenye Jamii kuhusiana na masuala ya siasa na hata ya masuala mengine yoyote ya kijamii. Kwa kifupi Mimi siyo mtu wa kupenda mijadala kabisa hususani...
Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi.
Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani?
Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara...
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
Shule ya sheria ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo ya kitaalamu kuhusu sheria na kuwapa wanafunzi stadi na maarifa ya kuwa wataalamu wa sheria. Shule za sheria zinatengeneza wanasheria wenye ujuzi ambao wanaweza kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu Kama vile mahakama,uchumi Ww...
chama cha sheria
haki za binadamu
mtihani
mwanasheria
shahada ya kwanza ya sheria
shahada ya uzamivu ya sheriasheria
shule ya sheria
takwimu za sheria
walimu wa sheria
Habari!
Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change.
Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili.
Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea.
Kwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa.
Akizungumza na waandishi...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.