Je, kuna sheria yoyote inayosema mtu aliyesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

medy45

Member
May 2, 2017
14
7
Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa ulemavu aliopata na sio chombo chake kwakuwa anafahamu hakikuwa na bima. Sasa watu wa bima hawataki kumlipa kisa tu alipata ajali kwenye chombo kilichokuwa hakina bima.

Swali langu je kuna sheria yoyote inayosema mtu aliesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

Naombeni kuelimishwa hapo.
 
kisheria anatakiwa alipwe leo nimetoa elimu juu ya third party ukipata muda pitia chapishoblangu ila naomba nikujibu ndugu yako hatakiwi kwenda katika kampuni ya bima ila anatakiwa afungue kesi ya madai dhidi ya aliyemgonga na afuate utaratibu kuwe na shaid kama vile mchoro wa police n.k polic watampa utaratibu afu aende maakamani kama anahaki na aligongwa katika eneo ambalo sio kosa lake huyo aliye mgonga ndie atatakiwa kulipa ghalama zifuatazo ghalama za matibabu , mahakamani, kuingiza kipato, ghalama zote sasa huyo dereva ataenda kwa kampuni ya bima kuwaambia kuwa amegonga na anatakiwa kulipa ela bima watachukuanakala ya mahakamani kwa usibitisho na ndugu yako atalipwa mnatakiwa kufungua kesi mapema iwezekanavyo kwa ushauri na maoni usisite kunitafuta kwa ajili ya muongozo 0621199717 wasap tu namba hio , pia nipigie kula katika chapisho langu la story of change
 
Back
Top Bottom