sheria

  1. JamiiForums Tanzania Je, Unajua nini kuhusu "Psychological Manipulations",Jinsi ya kuziepuka Na sheria Ya Tanzania inasemaje kuzihusu?

    Habari Za Muda huu wanajamvi! Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation). Kwa kwa kuanza Nini maana ya Psychological Manipulation? Psychological Manipulation ni aina ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni kinyume cha sheria kutumia nguvu kupita kiasi katika kujilinda ikiwa ndiyo njia pekee ya kujilinda dhidi ya hatari?

    Habari wana-JF, Turudi kwenye mada tajwa hapo juu: Kwenye TZ Penal Code: General Rules as to Criminal Responsibility > 18 > 18B > (2) & (3) Inasomeka: (2) Every person shall be criminally liable for any offence resulting from excessive force used in self defence or in defence of another or...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, tamko la Rais ni sheria? Kama halijatekelezwa hatua gani huchukuliwa?

    Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje? Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu halikutekelezwa. Binafsi ilikuwa hivi; mimi nilikuwa mshiriki wa baadhi ujenzi miradi ya Jamhuri...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  6. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Viongozi wa Dini CPCT watakiwa kutangaza amani na umuhimu wa kufuata Sheria za Nchi kwa waumini wao

    Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  8. JamiiForums Tanzania UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapitisha sheria kwamba nyumba zote zitakazojengwa ziwe na mfumo wa kusambaza gesi

    Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo! Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani. Ni hawa akina Rostam tulioshindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye kupambana na foleni, je sheria hii ni kandamizi au sio kandamizi?

    Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu 45, 72, mia etc.... wakati huo ya binafsi yanaanzia mmoja hadi kadhaa tu. Lakini yote yanachukua...
  16. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima tengua uamuzi wako wa kuunga mkono sheria ya maadili Arusha, hili ni bomu unatengeneza

    Moja kwa moja kwenye mada, Uongozi wa Kijiji Arumeru, Mkoa wa Arusha ulipitisha sheria ndogondogo za kukuza maadili baada ya matukio ya vijana kuuawa kwa makosa ya kuiba na mmomonyoko wa maadili ikiwemo kunyoa viduku na kuvaa vimini ndio sababu! Waziri Dkt. Gwajima D uko serious kabisa ku...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…