sherehe

  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    Watu 71 wa kijiji cha Liula wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamenusurika kifo baada ya kunywa kinywaji aina togwa kinachodhaniwa kuwa na sumu wakiwa kwenye moja ya sherehe ya kidini maarufu kama sadaka. Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw.Pololeti Kamando Mgema amepiga marufuku matumizi ya togwa...
  2. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

    Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi. Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga) KWA HISANI YA MTU...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Tarime: Jackson Kangoye afanya sherehe na wajumbe, ni mwendelezo wa kumhujumu Kembaki

    Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe nyumbani kwake na kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya na baadhi ya wagombea udiwani wa kata za...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  7. Benjamini Netanyahu

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

    Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida? Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
  8. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi za harusi, keki za sherehe na upambaji katika kumbi mbalimbali

    Habari Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
  9. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Ushahudhuria Sherehe za Harusi/Send off za X wako wangapi? Unakumbuka nini?

    Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi kuonekana kwenye send off party hiyo nikipigiwa Shangwe na shangazi zake kitendo kilicho wauzi...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid El Fitri: Waislamu duniani washerehekea kwa njia ya mtandao

    Maadhimisho ya Eid El Fitri mwaka huu zimekuwa tofauti na miaka iliyopita kutokana na mataifa mengi kuendelea kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus Nchi nyingi zenye idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama Qatar, Uturuki na Indonesia zimepiga marufuku matukio mengi...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nini kama Taifa tumepoteza baada ya kufutwa kwa mbio za mwenge na sherehe za muungano

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
  13. goldcall

    JamiiForums Tanzania Siku ya pasaka ni siku ya sherehe ya kufufuka kwa Yesu kristo na sio ufuska

    Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Serikali huenda ikazuia Shamrashamra za Pasaka, maadhimisho ya Muungano na sherehe za Mei Mosi mwaka huu 2020

    Habari za ndani sana kutoka serikalini zinasema wakati wowote kuanzia sasa serikali huenda itatoa tamko la kupiga marufuku shamrashamra za sikukuu ya Pasaka, maadhimisho ya sikukuu ya muungano na sherehe za Mei mosi kufuatia shinikizo la ushauri wa wataalamu wa afya katika kukabiliana na kuenea...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus yasababisha CCM kumpokea na kumpa Uanachama Fredrick Sumaye bila sherehe. Dkt. Bashiri asema itafanyika wakati mwingine

    TISHIO la ugonjwa wa Corona limesababisha Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akabidhiwe kadi ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimya kimya, bila kuwepo shamrashamra zozote kama ilivyozoeleka. Akizungumza jana katika hafla fupi ya kumkabidhi kadi mwanachama huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huku kwetu Kwamtogole ukiwa na sherehe, "self service" ya chakula inaumiza wengi

    Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe. Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu 10-15 wamwanzo ndiyo watabeba nyama zote. Unakuta mtu amepanga nyama kama mlima Kilimanjaro...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

    Hili ni pendekezo tu. Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake. Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza. Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu...
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

    Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe. Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji. Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma...
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania Balozi Seif Ally Iddi; Leo kutakuwa na tamasha la taarabu kwa wageni waalikwa wa sherehe za mapinduzi.

    Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.? Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu. Kama ni...
Back
Top Bottom