sherehe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

    Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi. Ipo tofauti ya imani na amri...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TOFAUTI: Mbuzi wa Sherehe na Mbuzi wa Maombolezo

    Ni Kwa vile sisi wenyewe tumeizoea hali hii, lakini Kwa kweli nchi yetu ina mambo mengi ya kushangaza. Fikiria, Kwenye kipindi hiki cha maombolezo, watu wanaweza kukamatwa kwa kukutana na kuchoma mbuzi Kwa kosa la kusherehekea lakini wakawa huru kuagiza mbuzi-choma na bia kwenye baa zilizo wazi...
  4. kzba

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

    Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za...
  5. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la kufuta sherehe za Nanenane mwaka huu 2021

    Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali imeamua kufutilia mbali sherehe hizo. Moja ya sababu kuu aliyotoa kiongozi huyo ni pamoja na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iandae sherehe kubwa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika. Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
  8. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

    Kiwango hicho cha tozo kitaanza kutozwa tarehe 01 Februari, 2019. Kibali hiki ni kwa watakaotaka kupiga muziki kwenye Bar, Pub, au ukumbi wa starehe Lakini pia kitawahusu wanaotarajia kupiga muziki kwenye send-off, harusi/ndoa, jando na unyago na birthday Aidha, kibali hiki kitapaswa kukatwa...
  9. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

    Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

    Taifa lenye maendeleo ni taifa lililo na furaha. Binadamu aliyeendelea hutenga muda wake kufurahi na familia pamoja ndugu kupitia likizo bila kujali aina ya kazi anayofanya au kupitia public holiday. Ninahusianisha Tanzania kuingia uchumi wa Kati 2020 na furaha ya Mtanzania. Ni kweli ipo furaha...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

    Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma. Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike? HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  15. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya ushindi wa Azerbaijan

    Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano. Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya Rais İlham Aliyev kutoa hotuba kwa umma. Mji mkuu wa Baku ulienea shangwe na sherehe za ushindi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  18. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Sherehe inapogeuka msiba

    Kaka mmoja alikuja mkoani kwetu kwa barua kutoka Wizarani, aliletwa pale kama Ofisa wa Serikali. Ule mkoa una neema sana, ndani ya miaka miwili yule kaka aliweza kujenga ghorofa pale mjini. Siku ya ufunguzi wa ghorofa lile, alitualika watumishi wenzake, viongozi wa dini na mama yake mzazi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini sherehe za ‘UHURU’ haziitwi ‘FREEDOM DAY’? , badala yake zinaitwa sherehe za ‘KUTOKUA TEGEMEZI’ , yaani ‘IN-DEPENDENCE DAY’?

    Nadhani hapa tulichotwa akili, neno ‘DEPEND’ limaanisha ‘Kutegemea’, kwahiyo siku ya kuoata uhuru wetu kuitwa siku ya ‘IN-DEPENDENCE’ wanamaanisha kwamba sisi tulikuwa tunawategemea wao ili kuishi, kwahiyo siku ya uhuru wetu badala ya kuitwa ‘Freedom day’ wakaiita siku ya kuacha ‘utegemezi’, hii...
Back
Top Bottom