sherehe

  1. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watumishi Chato watakiwa kujieleza kwa kutohudhuria sherehe za mazingira

    Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chato wameagizwa kuandika barua ya kujieleza sababu za kutoshiriki maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Maadhimisho hayo mkoani Geita yalifanyika wilayani Chato na kupelekea shughuli hiyo kuhudhuriwa na watu wachache, ukilinganisha na maandalizi...
  4. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sherehe za mwezi uliojaa damu, nitazianza 09 Agosti to 10 Novemba 2021. Anguko la masalia wa adui zangu

    Kwema Wakuu!! Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November. Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo. Masalia wa adui zangu mjiandae, code zenu zipo tayari, mafaili yenu yapo juu ya meza hapa. Sare zitakuwa mavazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

    Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
  6. Akilitime

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa afanye nini ili kupunguza gharama?

    Wakuu wanajukwaa wasalaam, Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi. Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje? Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukipata matatizo watu wakafanya sherehe bila kuwepo wanaosikitika na wewe Basi una roho mbaya na katili

    Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi. Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

    Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
  9. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Kwenye utambulisho wa Viongozi katika uapisho wa Rais Museveni, Wakuu wa Nchi Wanawake wametambulishwa wa mwisho kabisa

    Binafsi leo nimepata fursa ya kufuatilia kwa njia ya television sherehe za uapisho wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda huko jijiji Kampala. Kuna jambo binafsi limeniacha na maswali kadhaa nikijiuliza. Wakati Rais Museveni anatoa utambulisho kwa wakuu wa nchi (Head of state) walioudhuria...
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

    Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021. Rais Kenyatta amekubali ombi hilo. === Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December...
  13. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jambo hili kinaweza kutokea Tanzania tu dunia mzima: Unatenga fedha kwaajili ya sherehe kisha siku ikifika unawatangazia umma fedha zinakwenda kwenye

    Huu ndio ukweli mchungu, ni kwamba aidha viongozi wetu(watawala) wanatuona sisi wananchi hatuna upeo wa kufikiri au viongozi wetu wana upeo mdogo wa kufikiri. Wao ndio hupitisha bajeti za sherehe hizo kisha baadaye haohao hutengua bajeti na kuzipeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Hii...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?

    Habari za Leo wakuu, Naomba kujua swali hili Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
  16. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kutoka CCM, heri ya sikukuu ya Pasaka

    Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

    Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka. ‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo mengine) ilisema tuna imani kama kila Mwananchi atafuata Sheria na kujiepusha na vishawishi vya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wakristu tumebipiwa na shetani naomba tumpigie kwa sherehe kubwa tufufuke na kristo

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema! Kipindi cha kwaresma huwa ni kipindi cha kuyatafakari matendo makuu ya Mungu! Wapo wanadamu wanaothubutu kujitwalia utukufu wa Mungu! Lakini kamwe Mungu atabaki kuwa Mungu na wala hachunguziki! Skukuu ya pasaka ni siku ya furaha kubwa ya ufufuo wa Yesu...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyo piga marufuku shamrashamra za Pasaka, hawakuona kelele mule Bungeni?

    Wakuu hebu tujadili hili. Serikali imetoa wito kutoskia shamrashamra za sikukuu ya Pasaka mwaka huu tofauti na miaka mingine kisa bado tupo kwenye maombolezo. Je, Swali kwa Serikali inamaana hawakuona zile kelele na shamrashamra Bungeni baada ya jina la Philipo Isdor Mpango kupendekezwa na...
Back
Top Bottom