Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.

Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mataga na akili za kujazwa kwenye malori.

Yani MaCCM nyie mnawaza sherehe wakati sisi tunadeal na salary slip.

Chadema kuwalipa wafanyakazi ongezeko la mishahara la miaka 5 ambalo Mzee Pombe ametumia kulitapanya kununua wapinzani feki na kujenga uwanja wa ndege nje kwake.
 
Acheni kuanzisha thread za chekechea hili ni jukwaa la wenye akili timamu. Matatizo ya wafanyakazi kujulikana mpaka mei mosi? Ni CCM tu ndo hamjui matatizo ya wafanyakazi na ndo maana mnawadharau. Hata mtoto wa mfanyakazi anajua matatizo aliyonayo baba/mama yake.
 
mbona mimi mtumishi wa umma nimepandishiwa??
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kujua shida za wafanyakazi mpaka uhudhurie sherehe za wafanyakazi!!?
 
Acheni kuanzisha thread za chekechea hili ni jukwaa la wenye akili timamu. Matatizo ya wafanyakazi kujulikana mpaka mei mosi? Ni CCM tu ndo hamjui matatizo ya wafanyakazi na ndo maana mnawadharau. Hata mtoto wa mfanyakazi anajua matatizo aliyonayo baba/mama yake.
lini Chadema ilikutana na TUCTA?
 
Back
Top Bottom