serikali

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  2. JamiiForums Tanzania Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

    Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo. Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
  4. JamiiForums Tanzania Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

    Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao ili ‘’ kupambana’’ na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 yasisambae nchini...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu: Tanzania ni nchi yenye Serikali inayokabiliana na raia wake? Yenye kupenda kuwatisha raia wake? Nimeuliza tu

    Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani. Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate? Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa. Angalia issue ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa. Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la nyoka, Serikali isaidie kupunguza kodi

    March 22, 2020 Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
  9. JamiiForums Tanzania Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kutokuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali kuhusiana na Corona

    Nina wasilisha hoja hii miye kama mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kutoa mawazo yake kwa maslahi ya nchi yake. Ninaandika haya kwa uchungu nikifahamu pia kuwa kumekuwa na kutishana kusiko kuwa sahihi kwa watoa maoni hata wale wa nia njema tu kuhusiana na huu ugonjwa. Hata hivyo ni...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

    Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri? Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi. Swala la kufunga kila kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazikupika takwimu za uongo za viwanda

    Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania. Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi. Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

    Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona. Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu. Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi. Kamati ya tatu ni ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali ni nani na nini majukumu yake?

    Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini! Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania COVID-19; Serikali izuie kuingiza mitumba nchini

    NIkiangalia jenga la CORONA na uvaazi wa mitumba naona kabisa tunaenda kupata UGONJWA HUO kwa njia za mitumba. Ugonjwa huo unasemwa unaambikizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi hivyo ndio maana tunashauri kunawa mikono mara kwa mara. njia za kupata zipo nyingi ila hiyo ya kugusa ni mojawapo...
  16. JamiiForums Tanzania COVID -19’s effects to private sector & rescuing proposals

    The private sector is bumping on hardship moment after Covid-19’s tragedy which is still happening and no one knows the forthcoming. Business volumes have abruptly dropped yet the fixed costs have to be met, beyond and above there are other recurrent expenditures. There are critical issues with...
  17. JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  18. JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuu Serikali yote imehamia Dodoma, matamko yote yanatolewa ndani ya viunga vya ugogoni!

    Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma. Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa. Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Japhet Hasunga: Serikali kuanzisha Mamlaka rasmi itakayosimamia mazao ya mboga na matunda nchini (Horticulture)

    Waziri wa kilimo Mhe. Japhet Hasunga ameihaidi menejimenti ya Tanzania Horticultural Association (TAHA) ushirikiano katika kukuza tasnia ya horticulture nchini Ahadi hiyo imetolewa na mhe.Hasunga alipotembelea ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo zilizoko mkoani Arusha Akitoa maelezo mafupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…