Serikali wekeni mikakati ya kumsaidia mkulima kila mkoa kila wilaya

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Ushauri kwa Serikali ya Tanzania ya viwanda hii bank ya TADB mliyoanzisha ifanye kila namna ifungue matawi kila wilaya ili kwenda na kasi ya Tanzania ya kilimo na viwanda haiwezekani mnawahubiria wakulima kulima na huku back up mkulima hakuna msiitegemee crdb ndio ikopeshe wakulima la sivyo kilimo nchi hii kukua itakuwa kama mwanamke mgumba kupata ujauzito labda kwa maombi ya mchungaji ,mnaona kinachofanyika wizara ya ardhi kuanzisha ofisi kila wilaya hapo lengo kuu kupata kodi ya ardhi lakini pia kumsaidia kila mwananchi wa Tanzania mwenye nia ya kumiliki ardhi ya Tanzania apate hati ya ardhi kwa wepesi zaidi bila tashwishwi
TADB Branches 👇

Eastern Zone & HQ

Accacia Estates Building
4th Floor Plot 84k,
Kinondoni Road,
P.O. Box 6337 Dar ES Salaam, Tanzania.
+255 22 292 3500
0800 110 120
info@tadb.co.tz

Central Zone

PSPF Dodoma Plaza
5th Floor Plot 2&4 NCC Link Area,
Benjamini Mkapa Road,
P.O. Box 2143 Dodoma, Tanzania.
+255 26 2963849
0800 110 120
dodoma@tadb.co.tz

Lake Zone

TBA Building
Ground Floor Ex. TRA Office,
Postal Road,
P.O. Box 141 Mwanza, Tanzania.
+255 28 2541763
0800 110 120
mwanza@tadb.co.tz

Southern Highlands Zone

Plot No.20 Block E
Jacaranda Street,
P.O. Box 2581 Mbeya, Tanzania.
+255 25 2503053
0800 110 120
mbeya@tadb.co.tz
 
Back
Top Bottom