serikali

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

    Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo. Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu elimu bure

    Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana. Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Sudani Kusini: Rais Kiir na Mpinzani wake, Riek Machar wakubali kuunda Serikali ya Muungano

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na Mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana. Hatua hiyo inafuatia mkutano uliofanyika katika Ikulu katika mji mkuu wa Juba siku ya Alhamisi. Rais Kiir ameahidi kuwalinda viongozi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bayport: Majambazi yanayolindwa na Serikali?

    Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi...
  7. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab waendelea kuwa mfupa mgumu kwa serikali ya Kenya

    Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya...
  8. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kujiandikisha na kuboresha daftari la wapiga kura: Kutakuwa na uchaguzi au ni yale yale ya serikali za mitaa?!

    Wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana watu walihimizwa kwenda kujiorodhesha kwaajili ya uchaguzi huo. Baada ya kujiorodhesha kukatokea kituko cha karne ambapo wagombea wa upinzani zaidi ya asilimia 99 waliondolewa kwenye kinyang'anyiro na wale wa chama tawala kutangazwa kuwa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

    Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa. Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure. Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

    Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  13. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kesho mambo kuwekwa hadharani miradi yote iliyotekelezwa na Serikali "CCM imejipanga"

    Kesho mambo kuwekwa hadharani miradi yote iliyotekelezwa na Serikali "CCM imejipanga" Kamati ya siasa Wilaya ya Nyamagana, kesho itaanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 -2020. Kamati hiyo kesho itakagua...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 na sekta binafsi, kuna tusilolijua

    Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa. Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa...
  16. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaamuru Wachina wanne waliomchapa Mkenya warudishwe kwao

    Raia wanne wa Uchina waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i. Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia...
  17. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

    Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao. Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata...
  18. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kukwepa jukumu la kuwaongoza wananchi namna bora ya kuishi maisha mazuri

    Juzi nilisikia kiongozi wetu akiwaambia wananchi kuwa "wale wanaojenga mabondeni wanachagua wenyewe na hivyo taifa halitawaonea huruma". Mkuu mwingine kabla ya hapo alisikika huko Lindi akituambia wanaokumbwa na mafuriko wanajifurikisha. Dare es salaam miaka ya nyuma kidogo tulishuhudia watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
Back
Top Bottom