serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

    Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kutoteua bodi na kutowapandisha vyeo watumishi litawagharimu Selikali ya CCM uchaguzi huu

    Basi sometime huwa natoka huku Idukilo naenda hadi jijini Mwanza na siku zingine naenda Shinyanga hata Simiyu. Kwa kabiashara kangu ka kukopesha vihela na kununua mazao na biashara nyingine sometime na madini ya Mwadui basi wafanyakazi wa Selikali wamekuwa marafiki zangu sana. Basi juzi nikiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na takwimu kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa covid-19 nchini. Majaliwa amesema hayo jana Jumatatu, Aprili 6, 2020 wakati akihutubia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema hakuna upigaji NIC

    SERIKALI imesema hakuna ubadhirifu wowote unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) na shirika limeendelea kuboresha mifumo yake ya udhibiti wa mapato na matumizi,ili kukabiliana na washindani wake kibiashara katika sekta ya bima. Hayo yalibainishwa na jana bungeni jijini hapa na...
  6. JamiiForums Tanzania Maboresho kutoka Wizara ya Afya juu ya kujikinga na COVID-19

    Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa bidhaa na huduma Watanzania na wageni wanaoishi nchini wametakiwa kutosafiri kwenda nchi zilizoathiriwa kama hakuna ulazima. Wasafiri wote watakaoingia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitazame upya suala la ‘machinga’

    Kila mfanyabiashara ana haki ya kufanya biashara LAKINI kwa utaratibu uliopo sasa wa kuwaruhusu Machinga kuzagaa kila sehemu inaleta simanzi kubwa kwa wafanyabiashara wakubwa. Mfano hai njoo hapa Mwanza mtaa wa Nyerere panatisha. Mbele ya maduka makubwa yamevamiwa na machinga na kuwanyima...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inavyopoteza mapato kupitia jeshi la Zimamoto, Kamishina unalijua hili

    Wakati Mh. Rais akipanbana kupata kodi za kufanya maendeleo hali imekuwa opposite upande wa Zimamoto. Kama mjuavyo ni sheria kila anaefungua office za kuuza gesi awe na fire extinguisher pamoja na certificate kutoka ofisi za Zimamoto. Hii ni 100'000 kwakila anaeuza gesi kwa mwaka. Badala yake...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wazo la Makonda siyo baya ila lianze na Serikali kuonesha mfano

    Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Chonde chonde Watanzania tuchukue tahadhari ya COVID 19 mikononi mwetu. Kumbe marehemu Idd alikuwa anafuatiliwa na Serikali na hakupatikana!

    Marehemu Idd nimethibitisha kuwa alikuwa akifuatiliwa na serikali kwa muda wa wiki mbili kwa kudaiwa kuonana na muathirika wa COVID 19 aliyetoka nje ya nchi. Cha ajabu marehemu alishindikana kupatikana mbali na kuwa alikuwa ndani ya jiji la Dar tena akifanya shughuli zake kama kawaida. Marehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali huenda ikazuia Shamrashamra za Pasaka, maadhimisho ya Muungano na sherehe za Mei Mosi mwaka huu 2020

    Habari za ndani sana kutoka serikalini zinasema wakati wowote kuanzia sasa serikali huenda itatoa tamko la kupiga marufuku shamrashamra za sikukuu ya Pasaka, maadhimisho ya sikukuu ya muungano na sherehe za Mei mosi kufuatia shinikizo la ushauri wa wataalamu wa afya katika kukabiliana na kuenea...
  13. JamiiForums Tanzania Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika. Naamini kutokuwa na namba za simu...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isikubali kutangaza “total lockdown” au Karantini. Wanaoishawishi ama hawajui wanachokishauri au ni wabinafsi

    MUHTASARI: Nchi nyingi duniani, hasa za Magharibi, zimetangaza karantini au “lockdown” inayowazuia wananchi kutoka ndani muda wote isipokua kutafuta mahitaji ya lazima tu (dawa na chakula). Hatua hii imechukuliwa na nchi ambazo maambukizi ya Covid-19 yamekua makubwa, sio kwa lengo la kuzuia watu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    Heshima kwenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi. Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya. Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Suala la dharura mara nyingi huwa halikwepeki na hutokea wakati wowote ule. Ndo maana hata katika nchi ambazo zimedhurika kabisa na athari za ugonjwa wa Covid-19 zimechukua hatua kadhaa ambazo wananchi wanapaswa kuzifuata ili kujikinga na madhila ya gonjwa hili hatari linalosababishwa na kirusi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  20. JamiiForums Tanzania Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…