Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,877
Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
 
Kumbe mliofurahia jamaa kuitwa mvuta bangi hadharani mpo wengi!

Labda nikusaidie tu wapo Watu wengi tena wakivuta Bangi / Bange ndiyo wanafanya Mambo mazuri na ya Kimaendeleo na siyo Mpuuzi wenu huyu.
 
Hivi huyu Mchomvu inaelekea alizaliwa na kukulia kule jimboni kwa Nape au?
Nauliza tu jamani....
 
Aliomba radhi na pia kasema atatiimaagizo alyopewa na IGP na viongozi wengine wa serikali.
Labda kaitwa na kuna hatua atachukuliwa, community service pia ni hatua nzuri si lazima waje watangaze kwenye media.

Hapana naanza kuona 'Double Standards' nina uhakika lile Tamasha lingekuwa la Wapinzani jana ile ile angehukumiwa. Tunataka aadhibiwe upesi.
 
Back
Top Bottom