Tathmini: Miezi tisa baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,091
2,000
Wadau,
Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko.

Matukio kabla ya Uchaguzi
Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea kujaza form, almost 90% ya Wapinzani waliondolewa kwa kigezo hicho!

Matukio ya rushwa na figisu za hapa na pale, rejea tukio la yule Mama (kiongozi wa CCM aliyerekodiwa akieleza jinsi walivyomfitini mgombea mwingine akajisahau kuwa huyo anayemweleza ndio huyo mhusika aliyeenguliwa)

Rushwa pia ilitamalaki sana sana, matukio haya yalitawala kimya kimya na kwa waziwazi. Si kesi.

Tukio kubwa zaidi ilikua ni hotuba ya H.E Freeman Mbowe kuwa Wapinzani wajitoe, ilikua ni tamko fupi sana lakini kilikua na impact kubwa sana maana inasadikika kuwa hadi Viongozi wa Serikali pia hawakupiga kura.

Hali hii iliwalazimu Serikali kutoa Waraka wa "kuwataka" waajiriwa kwenda kupiga kura na ukweli ni kwamba hawakwenda!

Matukio ni mengi mtanisaidia, turudi sasa kwenye tathmini ambayo ni fupi sana na iko kwenye mfumo wa swali kama ifuatavyo.

Kumekua na "mitazamo" kuwa Wapinzani na siasa zao za "kupinga kila kitu" ndio zinakwamisha Maendeleo. Sasa majibu yenu hapa ndio yatatoa tathmini halisi.

Je, miezi Tisa baada ya Uchaguzi ambapo Serikali walijitangazia Ushindi wa 99% Kuna Maendeleo gani yanefanyika?

Kuna mabadiliko yoyote mazuri tunaweza kujivunia kwa kua Serikali zote (Sm) zinaongozwa na CCM? Mifumo ya uendeshaji mambo kwenye serikali za mitaa umeimairika? Kero za Wanachi zimeshughulikiwa?

Je, ni kweli Upinzani ndio tatizo au ni mfumo ndio mbovu?

Karibuni kwa hoja nzito, huu mjadala sio kwa Watoto, wasaka tonge, vibaraka, au wasiojitambua
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,299
2,000
Hakuna mabadikiko, na Kuna kilio kikubwa sana kwa wananchi. Mfano Jana nilienda kwa jamaa yangu mtaa wa Mpiji Magohe, Jimbo la Kibamba. Wanasema tangu viongozi wachaguliwe hawajawahi kuitisha mkutano wa wananchi, hawajawahi kutoa taarifa ya mapato na matumizi ya mtaa, kunaa mradi wa Kijiji wa maji haijawahi kusemwa kimepatikana nini, n.k.

Ukienda mitaa mwingine Hali ni hiyohiyo ushirikiano wa wananchi na viongozi ni mdogo Sana maana wanaona hawajawachagua na viongozi wanaona aibu madaraka walipopewa bila kupigiwa kura.

Hii Hali ikiendelea 2024 viongozi watakuwa wamechokwa hatachagulika.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,114
2,000
Tuna serikali inayoongozwa na watu wasiojua siasa wala umuhimu wa vyama vya siasa hadi kufikia mahali pa kutamka waziwazi kuwa ifikapo 2020 watakuwa wamefuta vyama vya siasa na kuua upinzani. Kwanza inashangaza sana kwamba upinzani ndio unamea vizuri na ni fundisho kwa washamba hawa kwamba watakufa wao na kuacha upinzani kwani upo kisheria.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,091
2,000
Tuna serikali inayoongozwa na watu wasiojua siasa wala umuhimu wa vyama vya siasa hadi kufikia mahali pa kutamka waziwazi kuwa ifikapo 2020 watakuwa wamefuta vyama vya siasa na kuua upinzani. Kwanza inashangaza sana kwamba upinzani ndio unamea vizuri na ni fundisho kwa washamba hawa kwamba watakufa wao na kuacha upinzani kwani upo kisheria.
Wanaongoza kila kitu still hali inazidi kuwa mbaya
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,016
2,000
Matukio ya rushwa na figisu za hapa na pale, rejea tukio la yule Mama (kiongozi wa CCM aliyerekodiwa akieleza jinsi walivyomfitini mgombea mwingine akajisahau kuwa huyo anayemweleza ndio huyo mhusika aliyeenguliwa)

Kuna mabadiliko yoyote mazuri tunaweza kujivunia kwa kua Serikali zote (Sm) zinaongozwa na CCM? Mifumo ya uendeshaji mambo kwenye serikali za mitaa umeimairika? Kero za Wanachi zimeshughulikiwa?

Kweli kweli.. CCM ndio ipo kwa nafsi yako.. hamuwezi kabisa kuongelea Chadema yenu.. bali chama kingine.. munafanya vizuri sana.. ila uwache uwongo kuweka.. tunaona vya CCM.. hatuwezi sikiza porojo za kufikiri mutaishusha.. huku hata wabunge wenu.. majimbo yao hawakufanya chochote.. bali serikali ya Rais Magufuli.. imefanya mengi na itaendelea.. kama vile Chadema hamuna viongozi huko.. hamuna vya kuvutia kuongelea.. Oops mulidanganywa.. msigombee eti viongozi wenu.. walisusa.. mbona hawasusi kwa uchaguzi wa 2020.. mukiambiwa ninyi ni ... alisema Hayati Mkapa.. munakuwa wabishi sana.. Ona maendeleo na CCM kutatua matatizo ya wananchi.. wanafanya.. na banaendelea vizuri tu.. umekwandika kama ni siku moja.. kila kitu utatuliwa..

Magufuli 2020 💯
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,416

Humu ndani kuna marobot? huu uandishi siyo wa binadamu; uwezi kuhariri kabla ya kutuma?
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,091
2,000
Kweli kweli.. CCM ndio ipo kwa nafsi yako.. hamuwezi kabisa kuongelea Chadema yenu.. bali chama kingine.. munafanya vizuri sana.. ila uwache uwongo kuweka.. tunaona vya CCM.. hatuwezi sikiza porojo za kufikiri mutaishusha.. huku hata wabunge wenu.. majimbo yao hawakufanya chochote.. bali serikali ya Rais Magufuli.. imefanya mengi na itaendelea.. kama vile Chadema hamuna viongozi huko.. hamuna vya kuvutia kuongelea.. Oops mulidanganywa.. msigombee eti viongozi wenu.. walisusa.. mbona hawasusi kwa uchaguzi wa 2020.. mukiambiwa ninyi ni ... alisema Hayati Mkapa.. munakuwa wabishi sana.. Ona maendeleo na CCM kutatua matatizo ya wananchi.. wanafanya.. na banaendelea vizuri tu.. umekwandika kama ni siku moja.. kila kitu utatuliwa..

Magufuli 2020 💯
Hii thread haikuhusu inawahusu wenye akili timamu, nazungumzia uchaguzi serikali za mitaa, wewe unakuja na Wabunge?
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
1,560
2,000
Kweli kweli.. CCM ndio ipo kwa nafsi yako.. hamuwezi kabisa kuongelea Chadema yenu.. bali chama kingine.. munafanya vizuri sana.. ila uwache uwongo kuweka.. tunaona vya CCM.. hatuwezi sikiza porojo za kufikiri mutaishusha.. huku hata wabunge wenu.. majimbo yao hawakufanya chochote.. bali serikali ya Rais Magufuli.. imefanya mengi na itaendelea.. kama vile Chadema hamuna viongozi huko.. hamuna vya kuvutia kuongelea.. Oops mulidanganywa.. msigombee eti viongozi wenu.. walisusa.. mbona hawasusi kwa uchaguzi wa 2020.. mukiambiwa ninyi ni ... alisema Hayati Mkapa.. munakuwa wabishi sana.. Ona maendeleo na CCM kutatua matatizo ya wananchi.. wanafanya.. na banaendelea vizuri tu.. umekwandika kama ni siku moja.. kila kitu utatuliwa..

Magufuli 2020
Kweli wee ni mwana ccm , umeandika Utupolo mtupu ..rudi shule mkuu au ndo mtaji wa ccm ni watu wajinga wasiojua kusoma na kuandika?
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,016
2,000
Kweli wee ni mwana ccm , umeandika Utupolo mtupu ..rudi shule mkuu au ndo mtaji wa ccm ni watu wajinga wasiojua kusoma na kuandika?

Unayandika huku wewe hadi uji wa bure.. CCM wamekunywesha.. ukoo wako wote umesomeshwa nao.. uliongoza wewe.. unayetamani uwe na mwanya wa kuoba fedha tena. tuliza boli.. jibu hoja.. ati kusoma.. 😃😃😃.. ukijua pale nimekusoma wapi.. si utalia kabisaaa.. jibu hoja.. CCM ni BABA LAO.. kwa Magufuli kuiongoza ipo juu..
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,395
2,000
Kweli kweli.. CCM ndio ipo kwa nafsi yako.. hamuwezi kabisa kuongelea Chadema yenu.. bali chama kingine.. munafanya vizuri sana.. ila uwache uwongo kuweka.. tunaona vya CCM.. hatuwezi sikiza porojo za kufikiri mutaishusha.. huku hata wabunge wenu.. majimbo yao hawakufanya chochote.. bali serikali ya Rais Magufuli.. imefanya mengi na itaendelea.. kama vile Chadema hamuna viongozi huko.. hamuna vya kuvutia kuongelea.. Oops mulidanganywa.. msigombee eti viongozi wenu.. walisusa.. mbona hawasusi kwa uchaguzi wa 2020.. mukiambiwa ninyi ni ... alisema Hayati Mkapa.. munakuwa wabishi sana.. Ona maendeleo na CCM kutatua matatizo ya wananchi.. wanafanya.. na banaendelea vizuri tu.. umekwandika kama ni siku moja.. kila kitu utatuliwa..

Magufuli 2020 💯
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, CCM hawajaleta maendeleo yeyote, maendeleo siyo Hisani ya CCM , maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania ambao hawana vyama
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,077
2,000
Wadau,
Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko.

Matukio kabla ya Uchaguzi
Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea kujaza form, almost 90% ya Wapinzani waliondolewa kwa kigezo hicho!

Matukio ya rushwa na figisu za hapa na pale, rejea tukio la yule Mama (kiongozi wa CCM aliyerekodiwa akieleza jinsi walivyomfitini mgombea mwingine akajisahau kuwa huyo anayemweleza ndio huyo mhusika aliyeenguliwa)

Rushwa pia ilitamalaki sana sana, matukio haya yalitawala kimya kimya na kwa waziwazi. Si kesi.

Tukio kubwa zaidi ilikua ni hotuba ya H.E Freeman Mbowe kuwa Wapinzani wajitoe, ilikua ni tamko fupi sana lakini kilikua na impact kubwa sana maana inasadikika kuwa hadi Viongozi wa Serikali pia hawakupiga kura.

Hali hii iliwalazimu Serikali kutoa Waraka wa "kuwataka" waajiriwa kwenda kupiga kura na ukweli ni kwamba hawakwenda!

Matukio ni mengi mtanisaidia, turudi sasa kwenye tathmini ambayo ni fupi sana na iko kwenye mfumo wa swali kama ifuatavyo.

Kumekua na "mitazamo" kuwa Wapinzani na siasa zao za "kupinga kila kitu" ndio zinakwamisha Maendeleo. Sasa majibu yenu hapa ndio yatatoa tathmini halisi.

Je, miezi Tisa baada ya Uchaguzi ambapo Serikali walijitangazia Ushindi wa 99% Kuna Maendeleo gani yanefanyika?

Kuna mabadiliko yoyote mazuri tunaweza kujivunia kwa kua Serikali zote (Sm) zinaongozwa na CCM? Mifumo ya uendeshaji mambo kwenye serikali za mitaa umeimairika? Kero za Wanachi zimeshughulikiwa?

Je, ni kweli Upinzani ndio tatizo au ni mfumo ndio mbovu?

Karibuni kwa hoja nzito, huu mjadala sio kwa Watoto, wasaka tonge, vibaraka, au wasiojitambua
Hicho kilichofanyika kwenye hicho kinachofanana na uchaguzi ni sehemu ya kaburi walilo jichimbia ndugu zetu.Sitarajii wakati huu kuona manbo Kama yaliyotokea novemba mwaka uliopita,japo tayari Kuna viashiria vya kutaka kutumika mbinu zile zile.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,395
2,000
Unayandika huku wewe hadi uji wa bure.. CCM wamekunywesha.. ukoo wako wote umesomeshwa nao.. uliongoza wewe.. unayetamani uwe na mwanya wa kuoba fedha tena. tuliza boli.. jibu hoja.. ati kusoma.. 😃😃😃.. ukijua pale nimekusoma wapi.. si utalia kabisaaa.. jibu hoja.. CCM ni BABA LAO.. kwa Magufuli kuiongoza ipo juu..
Magufuli anatumia pesa zake binafsi kuleta maendeleo au anatumia pesa za walipa kodi? Walipa kodi siyo CCM ni watanzania wengi ambao siyo wapenzi wa CCM iweje CCM mnatumia pesa zao kwenye miradi ya kifisadi?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,395
2,000
Jibu kwa hoja.. umeshindwa.. nyamaza.. hayo machache kidogo nimeandika.. unalia lia kunitaka niondoke.. hata nje ya boksi wewe huyawezi..😃😃😃..
Magufuli 2020💯
Hoja ipi? CCM mmeleta maendeleo yapi? Miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa kuanzia ununuzi wa Ndege kuna 10% za wanaccm, hakuna mradi usio na kasoro
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,016
2,000
Hoja ipi? CCM mmeleta maendeleo yapi? Miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa kuanzia ununuzi wa Ndege kuna 10% za wanaccm, hakuna mradi usio na kasoro

😃😃😃😃
Punguza hasira.. nenda hata ukaazime za manki.. ili uelewe.. ufurahie.. barabara/Anga.. uchumi wa kati.. oyeeeeee
Lia kabisa na minyoo yako inayokutafuna.. pokea hizi juu💉💉💉💉..

Magufuli 2020💯
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom