Newbies
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 1,448
- 2,111
Wakati huu ambao kuna tishio la korona kila pande ya ulimwengu, Je asasi za kielimu zimejipanga vipi kutolea elimu? Au Ndio zitafungwa kwa muda usio julikana. Nafikiri teknolojia za menti/mentimita na Skype zinaweza kusaidia hilo. Lakini udogo wa teknolojia unaweza kuathiri matumizi yake.