serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

    Waungwana, Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha. Marekani walikuwa mataifa huru 50...
  2. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anayebisha kuwa Serikali ya Magufuli ilijaa uonevu?

    Nasema imejaa uonevu kupitia kupita maelezo kwa sababu ya haya; 1. Watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kwa wakati na wala ndani ya miaka 5 hapakuwa na increments kwa mujibu wa sheria.Watumishi zamani walikua wanapandishwa madaraja baada ya miaka 3, kwa sasa mpaka miaka 5-7 ndio...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TAMISEMI, yawaita kazini waliotuma maombi ya Udaktari mwezi Agosti

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari zilizotangazwa na Serikali mwezi Agosti, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika. Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama Barabarani wanaichafua Serikali kwa uonevu wanaofanya kwa wamiliki wa magari

    Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000. Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas azungumzia Ukomo wa Serikali kwenye Uchaguzi. Rais yupo hana ukomo na Mawaziri wapo ila wana ukomo

    Wanabodi, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas yuko Live on Times FM, 100.5, Azungumzia kuhusu ukomo wa Serikali wakati wa Uchaguzi, Rais wa JMT yeye yupo, in full, hana ukomo, pia mawaziri bado wapo ila wao wana ukomo!, hawaruhusiwi kutoa ahadi za kiserekali, na siku rais mpya...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa uzembe kabisa Serikali isivyojali mitambo yake!

    Huu mtambo upo Bunju kando kando ya barabara ya Bagamoyo. Umeharibika na umekuwa hapo karibu mwezi mmoja sasa. Kabla ya hapo ulikuwa pale Mbezi Goig na pale vile vile ulikaa barabarani mwezi mmoja.. Huu ndo umakini wa idara za serikali-naamini huu ni mtambo wa Halmashauri fulani hapa Dar es...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kuna dhambi gani kuunda Serikali ya Umoja Tanzania?

    Mpaka sasa CCM na CHADEMA vina wafuasi wengi sana kwenye mikutano yao ya kampeni. Kama wingi wa watu ni mojawapo ya viashiria vya kuungwa mkono na watu wengi basi ccm na chadema vinaungwa mkono wa watu wengi. Nionavyo mimi hamasa ni kubwa sana kwa vyama vyote, hivyo mtu atajidanganya mwenyewe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mikataba ambayo Serikali ya Awamu ya Tano imeingia, nani kashuhudia au kujua kilichomo?

    oi
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msemaji wa Serikali anadanganya Umma juu ya Mikataba ya Madini?

    Na Thabit Jacob Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread Kwanza kabisa, wananchi wengi...
  11. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni jukumu la Serikali kuhakikisha watu wanafika kwenye vituo vyao vya Kupigia Kura

    Kwa mujibu wa Sheria ya gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010; Kifungu cha 23, Kifungu kidogo cha 6 (b) kinaeleza kuwa iwapo wapiga kura hawatokua na uwezo wa kufika kwenye vituo vya kupigia kura kutoka kwenye makazi yao bila kuvuka bahari au mto, itawekwa namna ya kuwafikisha wapiga kura...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

    Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
  13. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi, hususan wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiliamali na bila kusahau migogoro ya ardhi. Mitano ya Magufuli, kwa upande wa wakulima, wavuvi, wafugaji na wafanyabiashara...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  15. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni jambo zuri Serikali inavyohimiza tupande miti ila napendekeza ingehimiza tupande miti ya matunda kama machenza mpaka katika barabara zetu

    Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  17. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Sisi CCM ndo wenye Serikali, kama imekuuma jinyonge kwa udenda, Magari yetu na Wanachama ni wetu

    Salaam, Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi? Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GePG umeiingizia Serikali Trilioni 2.699 kwa mwaka 2019/2020

    Mfumo wa Kukusanya Maduhuli wa Serikali. Mwaka wa fedha 2015/2016 Kabla ya mfumo huo serikali ilikusanya Bilioni 699. Mwaka wa fedha 2019/2020 Umeeiningizia Serikali shilingi Trilioni 2.699. Ikiwa ni ongezeko la Asilimia 292% PAKUA APP GePG Tanzania - Apps on Google Play /Chanzo Katibu...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Mawaziri, RC, DC na Viongozi wa Serikali hawaruhusiwi kuingia vituoni

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

    Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi. Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
Back
Top Bottom