Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika.
Naamini kutokuwa na namba za simu...
MUHTASARI:
Nchi nyingi duniani, hasa za Magharibi, zimetangaza karantini au “lockdown” inayowazuia wananchi kutoka ndani muda wote isipokua kutafuta mahitaji ya lazima tu (dawa na chakula). Hatua hii imechukuliwa na nchi ambazo maambukizi ya Covid-19 yamekua makubwa, sio kwa lengo la kuzuia watu...
Heshima kwenu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.
Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
Suala la dharura mara nyingi huwa halikwepeki na hutokea wakati wowote ule.
Ndo maana hata katika nchi ambazo zimedhurika kabisa na athari za ugonjwa wa Covid-19 zimechukua hatua kadhaa ambazo wananchi wanapaswa kuzifuata ili kujikinga na madhila ya gonjwa hili hatari linalosababishwa na kirusi...
Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar.
Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
habarini!!
wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI!
hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni.......
1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.
Mara zote unapofungua...
Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.
Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao ili ‘’ kupambana’’ na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 yasisambae nchini...
Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.
Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?
Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.
Angalia issue ya...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa.
Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
March 22, 2020
Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili.
Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
Wanabodi
Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo.
Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
Nina wasilisha hoja hii miye kama mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kutoa mawazo yake kwa maslahi ya nchi yake.
Ninaandika haya kwa uchungu nikifahamu pia kuwa kumekuwa na kutishana kusiko kuwa sahihi kwa watoa maoni hata wale wa nia njema tu kuhusiana na huu ugonjwa.
Hata hivyo ni...
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu...
Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania.
Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi.
Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya...
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!
Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.