serikali

  1. Chonde chonde Watanzania tuchukue tahadhari ya COVID 19 mikononi mwetu. Kumbe marehemu Idd alikuwa anafuatiliwa na Serikali na hakupatikana!

    Marehemu Idd nimethibitisha kuwa alikuwa akifuatiliwa na serikali kwa muda wa wiki mbili kwa kudaiwa kuonana na muathirika wa COVID 19 aliyetoka nje ya nchi. Cha ajabu marehemu alishindikana kupatikana mbali na kuwa alikuwa ndani ya jiji la Dar tena akifanya shughuli zake kama kawaida. Marehemu...
  2. Serikali huenda ikazuia Shamrashamra za Pasaka, maadhimisho ya Muungano na sherehe za Mei Mosi mwaka huu 2020

    Habari za ndani sana kutoka serikalini zinasema wakati wowote kuanzia sasa serikali huenda itatoa tamko la kupiga marufuku shamrashamra za sikukuu ya Pasaka, maadhimisho ya sikukuu ya muungano na sherehe za Mei mosi kufuatia shinikizo la ushauri wa wataalamu wa afya katika kukabiliana na kuenea...
  3. Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika. Naamini kutokuwa na namba za simu...
  4. Serikali isikubali kutangaza “total lockdown” au Karantini. Wanaoishawishi ama hawajui wanachokishauri au ni wabinafsi

    MUHTASARI: Nchi nyingi duniani, hasa za Magharibi, zimetangaza karantini au “lockdown” inayowazuia wananchi kutoka ndani muda wote isipokua kutafuta mahitaji ya lazima tu (dawa na chakula). Hatua hii imechukuliwa na nchi ambazo maambukizi ya Covid-19 yamekua makubwa, sio kwa lengo la kuzuia watu...
  5. Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    Heshima kwenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
  6. S

    Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi. Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya. Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
  7. Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Suala la dharura mara nyingi huwa halikwepeki na hutokea wakati wowote ule. Ndo maana hata katika nchi ambazo zimedhurika kabisa na athari za ugonjwa wa Covid-19 zimechukua hatua kadhaa ambazo wananchi wanapaswa kuzifuata ili kujikinga na madhila ya gonjwa hili hatari linalosababishwa na kirusi...
  8. Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  9. N

    Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  10. Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
  11. Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

    Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo. Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
  12. Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

    Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao ili ‘’ kupambana’’ na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 yasisambae nchini...
  13. C

    Kwa jicho la tatu: Tanzania ni nchi yenye Serikali inayokabiliana na raia wake? Yenye kupenda kuwatisha raia wake? Nimeuliza tu

    Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani. Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate? Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa. Angalia issue ya...
  14. J

    Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa. Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
  15. B

    Uwekezaji soko la nyoka, Serikali isaidie kupunguza kodi

    March 22, 2020 Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
  16. Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
  17. Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  18. B

    Kutokuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali kuhusiana na Corona

    Nina wasilisha hoja hii miye kama mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kutoa mawazo yake kwa maslahi ya nchi yake. Ninaandika haya kwa uchungu nikifahamu pia kuwa kumekuwa na kutishana kusiko kuwa sahihi kwa watoa maoni hata wale wa nia njema tu kuhusiana na huu ugonjwa. Hata hivyo ni...
  19. T

    Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

    Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri? Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi. Swala la kufunga kila kitu...
  20. Serikali ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazikupika takwimu za uongo za viwanda

    Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania. Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi. Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…