serikali

  1. K

    Lindeni wazazi wenu na wagojwa, msisubiri Serikali

    Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali. Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi. Ndugu wenye pumu...
  2. goldcall

    Ushauri kwa Serikali na Watanzania kuhusu uzalendo wa kweli

    Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
  3. marco polo jr

    Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
  4. Pascal Mayalla

    Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona

    Wanabodi tuko Live Karibuni Paskali Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums Corona: Japo ni janga, pia ni fursa...
  5. J

    Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  6. S

    Janga la corona: Serikali iseme mapema kama itafungua vyuo na mashule au itaongeza muda watu wajipange

    Zikiwa zimebaki takribani siku saba kabla ya siku 30 za kufunga vyuo na mashule zilizotolewa na serikali kuisha,ni vizuri serikali ikatoa tamko mapema kama inaongeza siku au inaruhusu vyuo na mashule kufunguliwa ili kuwawezesha watu, wakiwemo wazazi na wanafunzi, kujipanga angali mapema. Sababu...
  7. Pascal Mayalla

    Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV

    Wanabodi, Vita dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19, Mapambano yanaendelea, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho asubuhi, watakuwa live ndani ya kipindi cha JLNH (Jicho Letu Ndani ya Habari) kinachorushwa na Star TV, kila...
  8. G Sam

    Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

    Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo. Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
  9. M

    Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  10. The Assassin

    Kwanini Serikali huwa inatangaza bajeti kubwa kuliko uwezo wa makusanyo na vyanzo vya mapato?

    Nilikuwa najisomea taarifa ya mkaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019, hizi taarifa zinaonyesha serikali ya wanyonge inavyodanganya wanyonge wake. Serikali ya wanyonge imekua ikitaja bajeti kubwa sana lakini uhalisia unaoneysha kua hizi taarifa ni kama vile hua zinaandaliwa na watu...
  11. M

    Serikali kujenga zahanati 3 kila Halmashauri nchini

    Serikali imesema kila halmashauri itajengewa zahanati tatu kwa lengo la kusogeza huduma za afya karibu kwa wananchi wake.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Wazir wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati akiwasilisha bajeti ya mwaka...
  12. Wacha1

    Ubalozi wa China Tanzania na Barrick (Kampuni ya Twiga) zatoa misaada kwa Serikali kusaidia kupambana na Corona

    Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
  13. E

    Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

    Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi. Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
  14. aise

    Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

    Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
  15. J

    Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  16. T

    Hili la kutoteua bodi na kutowapandisha vyeo watumishi litawagharimu Selikali ya CCM uchaguzi huu

    Basi sometime huwa natoka huku Idukilo naenda hadi jijini Mwanza na siku zingine naenda Shinyanga hata Simiyu. Kwa kabiashara kangu ka kukopesha vihela na kununua mazao na biashara nyingine sometime na madini ya Mwadui basi wafanyakazi wa Selikali wamekuwa marafiki zangu sana. Basi juzi nikiwa...
  17. Miss Zomboko

    Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na takwimu kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa covid-19 nchini. Majaliwa amesema hayo jana Jumatatu, Aprili 6, 2020 wakati akihutubia...
  18. M

    Serikali yasema hakuna upigaji NIC

    SERIKALI imesema hakuna ubadhirifu wowote unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) na shirika limeendelea kuboresha mifumo yake ya udhibiti wa mapato na matumizi,ili kukabiliana na washindani wake kibiashara katika sekta ya bima. Hayo yalibainishwa na jana bungeni jijini hapa na...
  19. Analogia Malenga

    Maboresho kutoka Wizara ya Afya juu ya kujikinga na COVID-19

    Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa bidhaa na huduma Watanzania na wageni wanaoishi nchini wametakiwa kutosafiri kwenda nchi zilizoathiriwa kama hakuna ulazima. Wasafiri wote watakaoingia...
  20. K

    Serikali ilitazame upya suala la ‘machinga’

    Kila mfanyabiashara ana haki ya kufanya biashara LAKINI kwa utaratibu uliopo sasa wa kuwaruhusu Machinga kuzagaa kila sehemu inaleta simanzi kubwa kwa wafanyabiashara wakubwa. Mfano hai njoo hapa Mwanza mtaa wa Nyerere panatisha. Mbele ya maduka makubwa yamevamiwa na machinga na kuwanyima...
Back
Top Bottom