Yanga inakufa Serikali iingilie kati kuiokoa

Yanga inakufa Serikali iingilie kati kuiokoa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,564
Reaction score
42,955
Jamani Kama mjuavyo Simba na yanga ndio mihimili ya soka Tanzania.

Mpira Tanzania ni maisha ni siasa ni uchumi usalama na amani.

Bila yanga imara hata sisi Simba hatutakuwa na raha.

Naitahasharisha serikali iingilie Kati kuiokoa yanga inaenda kufa kabisa itakuwa Kama mji mpwapwa tukuyu stars nk

Kiufupi yanga isaidiwe isizame management yake imeshapaniki TISS ingieni kazini muiokoe.

Super B.
 
Wana utopolo bado tunawahitaji Sana ndugu zetu.
 
Tundu lissu akishinda u rais yanga itakuwa kama bayern Munich
 
Yanga ilikuwepo kabla ya Simba na itakuwepo baada ya Simba! Vijihela vya kuhongwa na ponjoro visikutoe akili!
 
..TISS wanahusikaje ? ama una la ziada ila umeshindwa lisemaaa?

timu ya wananchi, hima faima wananchi inukeni kuinyanyua yangaaa 😛😛
 
Viongozi hawana mbinu yeyote Timu ishakufa eti wanawaomba Tanzania nzima wachange wananunue wachezaji wawili kutoka nje mshahara watawalipaje na kwani lazima kununua wachezaji kutoka nje kama huna pesa tumia wachezaji wa ndani tena wanaweza wakawa wazuri kuliko hao wa nje baadhi lakini
 
Ni kweli aisee timu yetu kwa sasa ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa,dah inauma sana.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Nilisikia kama ni timu ya kiitikadi ati!!!
 
Back
Top Bottom