serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Geita walalamikia kodi za TRA

    Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi. Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi? Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Serikali hii inatengeneza pato kubwa kuliko Serikali zilizopita, mbona haitoi ajira za walimu na watumishi wa afya kama serikali zilizopita

    Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira. Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bima Mkononi kupitia Tigo Pesa, ni ushindi mawazo tunayotoa humu yanawezekana na pia yanatekelezeka Serikali ikidhamiria

    Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu. Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imedhamiria kuua Sekta binafsi nchini? Kwanini kila kitu ifanye yenyewe?

    Huu ni mfano wa Hospitali inayojengwa huko Tunduma ambapo utashuhudia kuwa kila kitu katika ujenzi huo kinafanywa na Serikali ilihali kuna kampuni nyingi binafsi na zilizoajiri Watanzania wengi zenye uwezo wa kufanya kazi hizo Ripoti ya takwimu za Tanzania iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam, The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

    Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile na Serikali ya CCM tafadhali kama mmebariki Uhuni huu unaofanywa na Makampuni ya Simu nchini mtuambie

    Haiwezekani naacha Kuungana na Binadamu Wenzangu wote duniani Kusheherekea mwaka huu mpya wa 2021 badala yake naupokea huku nikiwa na Hasira na Uhuni kama siyo Utapeli tunaofanyiwa na Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hapa binafsi nauongelea sana huu wangu wa Morocco Smartphone Network...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ujenzi wa vituo vya malezi ya watoto ili kukabiliana na ukatili dhidi yao

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Brac Tanzania imeanza kuratibu uanzishwaji wa Vituo vya Malezi kwa watoto wadogo vitakavyomilikiwa na kuendeshwa na Jamii ya eneo husika. Hayo yamesemwa jijini Dar E s Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameagiza Daktari aliyejimilikisha hospitali ya Amana kwa lengo la kujitajirisha achukuliwe hatua kali Daktari huyo mwenye jina kapuni amebainika kutumia Vifaa vya Hospitali hiyo ambavyo vinamilikiwa na Serikali ili...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 30 kwa Taasisi zinazodaiwa na TTCL kulipa madeni ya huduma waliyopewa

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi mmoja. Dk Ndugulile alitoa agizo hilo jana alipotembelea TTCL na kuzungumza na wajumbe wa Bodi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Naomba Mrejeshi wa Matokeo ya Uchunguzi unaofanywa na Serikali Dhidi Ya Kampuni ya Qnet

    Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari isomeke Mrejesho badala ya Mrejeshi. Ni muda umepita sasa tokea taarifa za kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Qnet zitolewe. Aliye na mrejesho atujuze kwani bado tuna machungu makubwa na hela zenu tulizokopa na kuamua kuwekeza tukiamini...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Shule Zote za Msingi za Serikali Zisibadilishwe na kuwa English Medium?

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza! Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium. Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Ni ipi mipango ya Serikali ya awamu ya tano katika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania?

    Habari ndugu zangu, Sote tunafahamu ukubwa wa tatizo la upatikanaji wa ajira nchini kwa miaka ya hivi karibuni. Kwa kipindi tulichopo, hakuna tofauti baina ya msomi wa masters na aliyeishia darasa la pili, maana wote wanakimbilia kazi primitive zisizohitaji ujuzi wowote wa kielimu (mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mikusanyiko ya usiku kucha katika maeneo ya wazi Desemba 31

  20. JamiiForums Tanzania Serikali ichunguze makampuni ya gas

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani. Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…