Serikali iwe makini na mapokezi ya Lissu, msisubiri hali ikiwa tete

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,183
11,200
Wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi tafadhalini mulikeni kwa ukaribu sana mapokezi ya mtu anaitwa Lissu.

Njia za kufanya, fanyeni kama Mossad walivyoweza peleka watu wao kwenye vikao vya siri vya USSR, jambo lililosaidia CIA kupata mipango hatari ya USSR ya zamani.

Pia mulikeni makundi special.

Pia kuna key people mnaitaji kuwafuwatilia kwa umakini sana mwisho mtanielewa. Mimi natoa ushauri kutokana na kufuatilia mienendo ya mada kutoka blog tofauti nikaja na hii solution.

Huhitaji kupulizia upupu watu wengi wasiojuwa wanaenda wapi, mpulizie upupu mpangaji wa mipango arudi nyumbani akakunwe na familia yake.

Najua na hili nalo litapita.
 
Watampa /watawapa ujiko , Mkuu Wapinzani sasa hv wanatafuta attention hasa ktk Media na Social media , kabla na baada ya uchaguzi

Na km serikali itapanic basi wanawapa chance ( mtazamo wangu lkn)
Kwa hiyo mhalifu asikamatwe kisa kuogopa siasa!!!!!

Kuwa ukiwa kwenye uchaguzi wanasiasa ruksa kufanya uhalifu na sheria hazitakiwi kufanya kazi zinatakiwa zisimame zisubiri uchaguzi upite!!! hakuna kitu kama hicho Lisu akifika ni kukamata na kupeleka segerea.Sheria huwa hazisimami na mahakama na rumande huwa zinaendelea kama kawaida kupokea wahalifu
 
Sawa Mkuu mkamateni haina tatizo
 
Wakuu wa vyombo vyote vya Ulinz tafadhalini mulikeni kwa ukaribu sana mapokez ya mtu anaitwa Lisu
Njia zakufanya fanyeni kama Mossad walivyo weza peleka watu wao kwenye vikao vya siri vya Ussr jambo lilisaidia cia kupata mipango hatari ya Ussr ya zamani.

Pia mulikeni makundi special ya...

Pia kuna key people mnaitaji kuwafuwatilia kwa umakini sana mwisho mtanielewa mm natoa ushauri kutokana na kufuwatilia menendo ya mada kutoka blog tofauti nikaja na hii solutution. Huwitaji kupulizia upupu watu wengi wasio juwa wanaenda wapi mpulizie upupu mpangaji wa mipango arudi nyumbani akakunwe na familia yake.

Najuwa na hili nalo litapita.

Alifanya uhalifu gani wa kustahili kipigo cha RISASI 38? MCHANA KWEUPE KATIKATI YA JIJI LA DODOMA.

ETI ANASUBIRIWA ILI ASAIDIE UCHUNGUZI.

ANGEKUFA, MSAADA WA UCHUNGUZI UNGETOKA KWA NANI?

HAPO KUNA KUNDI HALIJATIMIZA WAJIBU WAKE.
 
Back
Top Bottom