serikali

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaodaiwa na TTCL kukatiwa huduma baada ya Januari 31 endapo hawatalipa madeni

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameliagiza shirika la mawasiliano Tanzania TTCL kufuatilia madeni ya malimbikizo yote inayoyadai mashirika mengine ya Umma na yakishindwa kulipa hadi januari 31 yakatiwe huduma. Huduma hizo ni simu na intaneti ambapo hadi sasa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Kahama kwa muda usiojulikana

    Kufuatia kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Serikali imelazimika kupiga marufuku uuzaji, usafirishaji na ulaji wa nyama ya nguruwe kwa muda usiojulikana baada ya kuripotiwa ugonjwa huo kusambaa kwa kasi na kusababisha vifo vya wanyama hao zaidi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

    Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China. Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

    Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe. Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania. Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete. Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

    Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye...
  6. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mlichotufanyia Bus la Mghamba, Arusha-Kahama ni kitendo cha kinyama. Serikali itazameni kampuni hii

    Tumefika Singida mbele kuelekea Misigiri gari ikaharibika. Kondakta alitokomea kwenda mjini na abiria tukawa tumetelekezwa. Jirekebisheni
  7. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijafunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani

    Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani. Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini wengine wasome English Medium na wengine Swahili medium wakati zote za serikali? Pili sasa hivi tuko...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  11. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hackers hatari duniani waidukua serikali ya Uganda

    ukitaka kujipakulia ujionee mambo ingia. hapa ni hatari sana. info.csv - AnonFiles
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara. Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa siku moja kusikia Serikali inakusudia kuivunja EWURA

    Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali lakini ni vigumu kuiingilia na zaidi ni vigumu kwa watawala kuweka mtu wao kama Mkurugenzi Mkuu wa...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Je, website hii iliyokuwa inatoa Salary Slips nayo pia ilikuwa ni ya Serikali?

    Site yenyewe hii hapa: http://watumishiportal.utumishi.go.tz/ Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017 Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017 Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mhitimu, Serikali ifanye nini ili uweze kujiajiri?

    Hii ishu imesemwa sana lakini naomba nirudie. Serikali yetu imeajiri watu kama laki tano tu usipojumlisha wanajeshi na polisi. Sehemu kubwa ya hao, kama asilimia 50 ni waalimu. Ukiangalia hapo hata serikali ikisema iajiri watu kadri inavyoweza haitaweza kutatua tatizo la ajira. Serikali...
  20. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango. Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000. Mbaya...
Back
Top Bottom