serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Wilayani Misungwi izuie uonevu kwenye hospitali ya Misasi

    Wakuu habarini, Kuna vituko sana hii nchi mpaka unaweza kuchanganyikiwa. Katika hospitali ya MISASI iliyoko wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza. Kuna tabia ya waganga/wauguzi kuwaambia wagonjwa wanunue baadhi ya vifaa rahisi sana vinavyotakiwa kuwa hospitali. Na vilevile walipie pesa kwa...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence. ======== Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania Jan 11, 2021 Montero has...
  5. J

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao. Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa...
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni Mahakama za Ardhi kwani zimejaa wapigaji. Kesi zote za Ardhi rudisheni Mahakama za kawaida ili zikamilike mapema

    Hii inchi jambo haliwi jambo hadi limfike mtu! Kwa mjibu wa sheria za Tanzania! Migogoro na kesi zimegawanywa kusikilizwa katika makundi tofauti ya mahakama! 1. Kesi za jinai, madai na uchumi zinasikilizwa MAHAKAMA ZA KAWAIDA 2. Kesi za kibiashara na uwekezaji zinasikilizwa na MAHAKAMA ZA...
  8. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

    Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020. ==== Dar es Salaam. Chadema Vice...
  9. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

    Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70. Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu. Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

    “ Wasafi Tv wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie, Wizara inaendelea na jitihada za kuona hili linapata mwelekeo utakaolinda ajira zilizozalishwa, uwekezaji uliofanyika bila kuvunja sheria za Nchi"-Waziri wa Habari Innocent Bashungwa Taarifa: Darmpya Blog
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Rais Magufuli, tuletee Muungano wa Serikali Moja

    Wajumbe, Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi. https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/ Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tito Magoti na mwenzake kutiwa hatiani ni dhahiri kuwa sio kila anayejinasibu mkosoaji wa Serikali anabambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Kabla ya kwenda moja kwa moja napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mtu ambaye sipendi kuona watu wakionewa na hasa kunyimwa haki zao za msingi. Kumekuwepo na dhana potofu hapa Tanzania kuwa kila mtu anayeikosoa Serikali ya sasa ya awamu ya tano lazima akutane na mkono wa chuma.Dhana ambayo imekuwa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali kupandisha mishahara ya watumishi wa umma, hakuna kisingizio cha kutopandisha, uzalishaji umeongezeka

    Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe. Mwaka 2017 kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT jijini Dar es salaam rais JPM alisema hawezi kuongeza mishahara ya watumishi...
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 90 vifungashio vya plastiki visivyo na kibali cha TBS viondolewe sokoni

    Wazalishaji na wasambazaji wa vifungshio wamepewa miezi mitatu kuondoa sokoni bidhaa hizo zisizokidhi vigezo vinginevyo wajiandae kukutana na mkono wa sheria. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Januari 8 alipozungumza na waandishi wa...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na utaratibu wa Serikali kuwataka wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa ilihali imetumia bilioni 700 kujenga daraja

    Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu. Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe? Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  18. blogger

    JamiiForums Tanzania Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

    Mishahara yetu duni..... Tumekubali. Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali. Madaraja hatupandi.. Tumekubali. Annual increment hamna.. Tumekubali. Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali. LAKINI Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

    Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake. Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao. Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kuwapokonya Wakurugenzi ma V8 ndio kutafuta ukweli kuwa Serikali ilifanya makosa?

    Mchakato wa kufanya manunuzi ya mali umma zipo wazi. Kwa upande wa Halmashauri ni wazi kuwa lazima Baraza la Halmashauri husika likae na kupitisha matumizi pia kibali kutoka kwa wenye mamlaka kiruhusu. Tunajua wazi kuwa halmashauri nyingi zina magari haya ambayo kwa sasa ndio yanaonekana ni...
Back
Top Bottom