serikali

  1. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Nipongeze Serikali kwa kufanya uamuzi wa kuzuia Bodaboda na Bajaji kuingia mjini wamefanya jambo la maana sana

    Nipongeze Serikali kwa kuzuia boda boda na bajaji kuingia mjini wamefanya jambo la maana sana. Bodaboda ndo zinaongoza kwa kusababisha ajali unakuta badaboda anaovertake gari kubwa mwishoe anasababisha ajali na kupoteza maisha ya watu. Watu wengi sana wamepoteza maisha kwa bodaboda kwaajili ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais Samia " Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania ATCL yatakiwa irejeshe Serikalini Tsh bilioni 896 ilizopewa kama ruzuku bila kufuata utaratibu

    Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance and Planning, according to the Parliamentary Accounts Committee (PAC). Committee Vice-Chairman...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Maamuzi matatu ya Serikali ya awamu ya sita yanayolalamikiwa yote yapo sahihi Na Sababu zangu ni kama ifuatavyo

    Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa). Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
  6. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa Serikali kufanana na kambale

    TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI: Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha ya kambale ambayo kila mmoja ana sharubu zake. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa mkali sana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma - hisia zilichomokea kwa sakata la Wamachinga na Serikali

    Kweli Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga, kama mlifuatilia fumuko la mvutano kati ya Serikali na wananchi (Wamachinga), Kuna kitu ikiwa ni wenye akili mmekisoma na faida zilizopatikana ni serikali kurudi na kunywea na kuwasikia viongozi wao wakisema....endeleeni...bakieni....malizeni kuorodhesha...
  8. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde Taasisi ya kutunga na kusahihisha Mitihani ya Vyuo vya elimu ya Juu, Rushwa ya Ngono Imeshika kasi

    Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
  11. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

    Friends and Our Enemies... Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mjue Eugene Maganga mhusika wa njama za kuipindua Serikali ya Rais Julius Nyerere Januari 9, 1982

    MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982. "Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga. JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu

    Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu.Takwimu za wizara ya Afya zinaonyesha kuwa jumla ya watu 5,029,901 wamepewa chanjo. Kati yao, 3,545,060 wamepata dozi moja huku 1,484,841 wakiwa wamepata dozi zote mbili. Watu 1,012,457 wamepata dozi ya kwanza ya chanjo...
  15. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kumwaga mabilioni Halmashauri ya Chalinze

    Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze tumepewa Tshs. Bilioni 1.6 ambazo zimepelekwa kwenye sekta ya Elimu na X-ray kwa ajili ya huduma za...
  17. Halaiser

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie tatizo la ukosefu wa ajira kwa umakini

    Wasalam wanajamvi. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la ajira Kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali. Wengi wa vijana hao wamekuwa wakijitolea kwenye Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali Kwa mkataba wa miezi/ mwaka mmoja. Wamekuwa wakiahidiwa na watendaji wa maeneo hayo kuwa vibali vya...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Mali: Serikali ya Mpito yamfukuza Mwakilishi wa ECOWAS

    Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake. ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  20. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifungie utengenezaji na usambazaji wa Filamu za Kibongo hadi watakapojitambua

    Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao) Filamu stori haieleweki wanaigiza ili mradi tu, Unaweza kusema labda bajeti ya uandaaji ni kubwa...
Back
Top Bottom