serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

    Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania. Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
  2. karv

    JamiiForums Tanzania Nini mchango wa serikali katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu nchini?

    Habari wana JF leo naomba nizungumze kitu ambacho binafsi kinanikera sana na huwa sikielewagi Kitu chenyewe ni kuhusu muitikio wa serikali katika kuzisapoti timu zetu za taifa hasa mpira wa miguu Kwanza naomba kurudi nyuma kidogo wakati wa utawala wa rais Kikwete aliajiri makocha wa timu za...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ieleze mnunuzi wa korosho inalipia kiasi gani ili kupata bei halisi

    Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nini vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita?

    Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
  7. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala la ulevi Moshi Mjini

    Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar. Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijarudisha walioghushi vyeti

    SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI Serikali imesisitiza kutowarejesha kwenye Utumishi wa Umma Watumishi 15,538 walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo katika kumbukumbu zao rasmi za kiutumishi kuwa wana elimu...
  10. aleesha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar naomba mulione hilo

    Nikiwa Mtanzania mwenye mwingiliano mkubwa na watu wa visiwa vya Zanzibar, sina budi kusimama kidete kwa masilahi mapana ya Nchi hii bila kupepesa Macho. Nitazungumza kuhusu suala la umiliki wa ardhi kwa wageni. Kwa mujibu wa sheria, ardhi ni ya serikali lakini pia serikali ikaweka utararibu...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari: Serikali inatambua umuhimu wa kilinda taarifa binafsi

    SERIKALI imewataka wanaokusanya na kutumia taarifa za watu binafsi, taasisi na Serikali kupitia mitandao kutimiza wajibu wao kwa kuzilinda kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, maadili na nidhamu ya kulinda taarifa hizo kwa kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kuzilinda taarifa hizo. Hayo...
  12. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makundi 9 ya wapiganaji yaungana dhidi serikali ya Ethiopia

    Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo. Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy Ahmed, wakati makundi ya wapiganaji yakiendelea kukaribia mji mkuu wa Addis Ababa. Makundi kadhaa...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

    Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

    GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

    Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
  17. onjwayo

    JamiiForums Tanzania Serikali na watendaji wake hawawathamini wazee waliostaafu

    Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee. Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha ulaghai na ukiukwaji wa haki za wastaafu. Wapo wastaafu tangu 2017 Hadi 2020 hawajapewa mapunjo yao...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Badala ya machinga kuwekwa kwenye mkondo wa maji Jangwani serikali ifanye yafuatayo

    Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Serikali ianzishe wiki ya Dar es Salam

    Kutokana na ukubwa wa uchumi mkoa wa Dar es salam na umuhimu wa mkoa huu kwa uchumi wa taifa letu, napendekeza Serikali ianzishe wiki maalum na kuutangaza mkoa huu kitaifa na kimataifa. Katika wiki hilo kuwe na vipindi na matukio mbalimbali yanayoielezea Dar es salam kinagaubaga vipindi hivyo...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Imekuwa utamaduni wa Serikali kufukuza wamachinga

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara. Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
Back
Top Bottom