serikali

  1. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Nachukia Nchi yangu - Serikali ijirekebishe

    Kwa kweli nachukia mambo yanayoendelea kwenye nchi yangu na uonevu mkubwa wa mifumo yetu. Niwape pole sana kwa report mbaya ya CAG, ila pia niseme kisa changu kinachoula moyo wangu. Nilikuwa nina safari ya Mbeya ya kikazi na gari langu, kweli ni my dream car na nimelinunua kwa gharama na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia mbaya na Serikali walisubiri kusikia wanachokiamini

    Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu nimesikiliza speech kwa makini sana Rais Samia Suluhu amejikita katika kuhakikisha Tanzania inaendelea...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

    Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi. Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Deni la Taifa, Serikali iungwe mkono

    Kuhusu deni la serikali muhimu zaidi ni Elimu kulihusu ili kutoa dhana kwamba serikali huwa inakopa ili kununua V8. Well Kimsingi kabisa deni la serikali hutokana na maeneo makuu 3 ambayo ni. 1. Serikali na idara zake kukopa/kudaiwa. 2. Serikali kudhamini (guarantor) sekta binafsi kukopa. 3...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

    Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha. Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea.. Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida. Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais...
  7. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
  9. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

    Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
  10. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

    Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa...
  11. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

    Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze malalamiko ya Ugumu wa Maisha

    Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa. Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wananchi hawezi kuishitaki Serikali yao kwa kosa hili?

    Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je, wananchi hawezi kuishitaki serikali Yao kwa kupangiwa mipango mibaya iliyowatia hasara wananchi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga adai waliovamia mashamba ya Kenyatta walitumwa na Serikali

    Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Azimio la Umoja One amelaani uvamizi huo uliofanywa makundi ya Wahalifu walioiba na kuchinja baadhi ya mifugo ikiwemo Mbuzi na Kondoo waliokuwa ndani ya Shamba hilo. Akizungumza na BBC, Odinga amesema uvamizi huo uliofanywa Machi 27, 2023 ikiwa ni siku ya pili...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali yako ilishawahi kukwambia masharti nafuu kwenye mkopo ni yapi?

    Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU. Je, serikali yako imewahi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023). Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  20. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
Back
Top Bottom