SERIKALI YAKABIDHI TIKETI ELFU 20 KWA TFF
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ndg. Saidi Yakubu amekabidhi tiketi Elfu 20 Kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kwa ajili ya Mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars Machi 28, 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar...
Wanabodi
Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa.
Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua...
Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi.
Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port.
Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli...
Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya
Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara.
Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa.
Akizungumza na wandishi...
Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi wa kuwafanya watalii ho kuongeza siku za kukaa nchini na...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya watalii hao kuongeza siku za kukaa nchini na hatimaye kukuza pato la Taifa.
Amesema moja ya mkakati...
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema...
Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini.
Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni.
Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya:
“Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24.
“Nilikuwa nadai fidia ya...
Salama wakuuu. ..
Ni ukweli usione na shaka kwamba pamoja na mapungufu yake hayati Magufuli alikua na uthubutu mkubwa WA kuanzisha miradi ya kikmkakati
Miradi hii ambayo ni pamoja na reli ya sgr, bwawa la kufua umeme ya Nyerere , bomba la mafuta kuhamia Dodoma ,ununuzi WA ndege nk...
Lema aliibua hoja ya msingi sana ambayo wahuni wameifunika katika propaganda nyepesi kwamba alisema kazi ya bodaboda ni laana.
Hilo ni kwa mtazamo wake, lakini kwa upande wangu mimi siwezi kuiita laana maana inalisha familia za watu, kusomesha na kujenga, ni ajira kama ajira nyingine...
Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU.
Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.