serikali

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

    Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani. Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi? Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha uendeshaji shughuli za Serikali kwa uwazi

    Hii ni habari njema sana kwa Watanzania wote. Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi ambao Watanzania wengi tulitamani kuwa nao, ni uongozi tuliokuwa tunauota kwa zaidi ya miaka 5. Tulitamani sana kuwa na uongozi unaofanya shughuli zote kwa uwazi lakini haikuwezekana kwa zaidi ya miaka 5...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  5. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa unafanywa hivi manunuzi ya magari ya Serikali, pikipiki, ambulance nk, vifaa vya kielectronic vya umma, na manunuzi yote ya Serikali

    Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali 1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza maboresho ya Daftari la Wapiga Kura

    Serikali imesema katika mwaka 2023/2024, shughuli za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 pamoja na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka 2024 zitaendelea. “Kazi zitakazofanyika ni pamoja na kulifanyia maboresho Daftari la Kudumu la Wapiga Kura; kuboresha mifumo ya menejimenti...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

    Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa. Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Buza ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu. Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 8.75 zatengwa kukamilisha Vituo vya Afya 20 nchini

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 8.75b kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya 20 katika Halmaashauri nchini Akizungumza Bungeni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais–TAMISEMI, Festo J. Dugange amesema fedha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Viongozi wa Serikali na Jeshi wanahusika na Mauaji, Ubakaji

    Ripoti ya Wataalamu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) imebaini baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Sudan Kusini wamekuwa wakifanya Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Raia ikiwemo Kushambulia, Kujeruhi, Kuua na Ubakaji. Pia, Ripoti imesema Serikali haijaonesha kuweka uzito katika kudhibiti...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Australia kupiga marufuku matumizi ya TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Serikali ya Australia imebainisha kuwa itachukua maamuzi hayo kwa sababu za kiusalama, ikiunga na Marekani, Ufaransa na Uingereza ambazo nazo zimechukua maamuzi kama hayo. Katazo hilo linatokana na onyo lililotolewa na Nchi za Magharibi kuhusu mtandao huo wa China wakidai unaweza kutumiwa na...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waitara ahamasisha wananchi kuigomea serikali Wilayani Tarime

    Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema: "Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya South Afrika imetuma maafisa wake Urusi kujadiliana namna ya kurekebisha 'global order' ili kuwe na multipolar world

    Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata tamaduni zao, tusilazimishane kufuata tamaduni za kimagharibi (ndoa za mashoga na wasagaji) na pia kila...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ilizingatie hili katika ajira kwa maafisa watendaji wa Serikali za vijiji na mitaa

    Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba. Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa Wananchi ni Muhimu katika kuongoza Serikali

    Ushirikishwaji wa wananchi ni mchakato wa kuwahusisha na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi ya serikali na mipango ya maendeleo. Hapa kuna baadhi ya faida za ushirikishwaji wa wananchi: 1. Kuimarisha Utawala wa Kidemokrasia Uhusishwaji wa wananchi unaimarisha utawala wa...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali isipowakamata na kuwafikisha mahakamani wezi wa mabilioni haya basi wafungwa wote magerezani waachiwe, wanaonewa!

    Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa. Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya...
Back
Top Bottom