Je, Serikali yako ilishawahi kukwambia masharti nafuu kwenye mkopo ni yapi?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,640
697,994
Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU.

Je, serikali yako imewahi kukuambia hiyo mikopo yenye masharti nafuu, hayo masharti nafuu ni yepi? Viongozi wengi hasa wa kisiasa kwenye hizi nchi za dunia ya tatu kwa ujinga, upuuzi na uono kimo cha mbilikimo walikubali kupokea mikopo hiyo yenye masharti kificho na hao wakopeshaji wakafanikiwa kupenyeza, kuasisi na kujenga mtandao wa kufundisha waafrika ushoga na usagaji.

Sasa hali imekuwa mbaya tunakumbuka shuka kukiwa kumekucha kweli? Tangu lini mzungu aliyekufanya mtumwa wake kimwili, kifikra na kimaono akawa na upendo nawewe? Akawa na huruma na wewe? Akawa na msaada na wewe? You must be mentally castrated or rather retarded ukiamini haya!

Kinachoitwa misaada na mikopo yenye masharti nafuu si lolote si chochote bali ni miradi ya siri ya kuangamiza tamaduni zako, utu wako, mila na desturi zako nknk. Na hao watu kwa kufahamu akili za waafrika zilivyo wameweza kwa mafanikio makubwa kubadili mindset za vijana wengi na sasa hili jinamizi la ushoga na usagaji linatutesa.

Viongozi wetu walipokuwa wanapokea zawadi kubwa na ndogo hawakuyawaza haya!?
Viongozi wetu walipokuwa wanapewa kinachoitwa misaada ya maendelea hawakuona hatari ijayo?
Viongozi wetu walipokuwa wanasaini kinachoitwa mikopo yenye masharti nafuu hawakujiongeza?

Siku ya iPhone 13,14, tv kubwa, sofa set ya ngozi, vyombo vya nyumbani, ahadi ya kusomeshewa mtoto nje ya nchi, bakshish ya dola laki moja.. Vitu vidogo vidogo kama hivi vinaweza kubadili msimamo wa kiongozi yeyote wa Kiafrika na akatenda kulingana na maagizo ya mabwana wakubwa!

Tanzania tuna vyama vya kijamii zaidi ya hata 500 vyenye ufadhili wa moja kwa moja toka nje.. Je system yetu ya kulinda taifa ilishawahi kuvifuatilia shughuli zao upenuni na sirini?

Tukikata kujikomboa na hili jinamizi la ushoga tuanze na hili la kukataa misaada na mikopo yao! Kwanza mikopo ni utumwa.. Hasa hiyo iliyopewa jina la mikopo ya masharti nafuu

Bure aghali Waswahel walisema!

 
Raia wa Uganda waanzisha msako-mkakati wa kuwakabili Mashoga na Wasagaji, ili kuepusha laana kwa nchi yao. Kinachofurahisha hapa Uganda ni kwamba, hao Mawakala wa Ibilisi hawana popote pa kuripoti vichapo wanavyovipokea mitaani Yaani Uganda ni mfano wa kuigwa. Mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.
 
Kwa kweli haijawahi, na kwa aina ya serikali tuliyonayo, haitatokea siku ikatueleza kwa kina na kwa kinagaubaga, kuhusu hiyo mikopo yao yenye masharti nafuu.

Hongera nyingi kwa jirani zetu Uganda kwa kuamua kupambana dhidi ya vitendo vya kishoga, hadharani.
 
Hii vita sio tena yakutegemea hawa viongozi wetu wanaowaza maisha binafsi na familia zao. Hii ni vita yetu wananchi kuingia mitaani na kuwaslaughter wahusika kila mahala na kuwashinikiza viongozi wetu hatutaki misaada tena bali walete sera za mataifa yetu kujitegemea.
 
Viongozi wetu na vyama vyetu malengo yao ni kushika dola kwa gharama yeyote matokeo yake hata kwa kuuza utu wa watu wao.
 
Hii vita sio tena yakutegemea hawa viongozi wetu wanaowaza maisha binafsi na familia zao. Hii ni vita yetu wananchi kuingia mitaani na kuwaslaughter wahusika kila mahala na kuwashinikiza viongozi wetu hatutaki misaada tena bali walete sera za mataifa yetu kujitegemea.
Viongozi wetu wameshalemazwa na hiyo misaada na zawadi, ni ngumu kuwaambia ishu ya kukataa misaada.. Kama tunaweza kupokea misaada ya kujengewa hata matundu ya vyoo mashuleni unategemea nini hapo
 
Raia wa Uganda waanzisha msako-mkakati wa kuwakabili Mashoga na Wasagaji, ili kuepusha laana kwa nchi yao. Kinachofurahisha hapa Uganda ni kwamba, hao Mawakala wa Ibilisi hawana popote pa kuripoti vichapo wanavyovipokea mitaani Yaani Uganda ni mfano wa kuigwa. Mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba.View attachment 2568334
Bongo watu maarufu/watangazaji wana miliki vi pub vinajaza mashoga kibao

Ova
 
Back
Top Bottom