Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
BDF-soldiers.jpg

Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi.

Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi ya #CaboDelgado wakiwa na vitendea kazi vyote pamoja na chakula cha kutosha.

Takriban wanajeshi 300 wa BDF walitumwa mwaka 2021 chini ya ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa #Afrika (SADC) kwenda #Msumbiji kukabiliana na Wanamgambo wanaoendesha mashambulizi dhidi ya Raia.

============

Botswana Defence Force (BDF) has denied reports that its soldiers deployed in northern Mozambique for peacekeeping are starving due to shortage of food.

The army dismissed a local newspaper report titled 'BDF troops starving', terming it "baseless and unfounded".

In a statement on Wednesday, BDF said its soldiers in Mozambique's restive Cabo Delgado province are physically and morally supported to attain "fighting power".

About 300 BDF troops were deployed in 2021 under the Southern Africa Development Community (SADC) mission to Mozambique (Samim).

Intensified patrols by Mozambican forces and Samim troops have resulted in a drop in militant activity in northern Mozambique, local media reported.

BBC
 
Back
Top Bottom