serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  4. S

    JamiiForums Tanzania Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema itawaondoa Watanzania waliopo Sudan kama itahitajika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amesema imejiridhisha kuwa Watanzania 201 waliopo huko wapo salama ambapo kati yao 171 ni Wanafunzi na idadi nyingine ni raia na Maafisa wa Ubalozi. Dkt. Tax amesema Serikali imesikitishwa na kuzorota kwa hali ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi achangia Bungeni, aiomba Serikali kutatua kero Jimbo la Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali kwa ajili ya kutatua kero na kusukuma maendeleo Jimboni kwake. Kwanza; Dkt. Samia amempongeza Rais...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Hali ya Usalama Nchini Sudan

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa juu ya hali mbaya ya usalama inayoendelea nchini Sudan, kutokana na mapigano yaliyozuka katika mji mkuu wa Khartoum na maeneo mengine tangu tarehe 15 Aprili 2023, kati ya Majeshi ya Sudan na kikosi cha Usaidizi wa Haraka cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanya mageuzi makubwa TTCL

    Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  12. Gadafhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  13. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

    Ombi kwa serikali iwasaidie wananchi wa Fuoni meli tano sheli, shehia ya Mnarani, kuhusu nyumba namba SH. MNR. 08/101 Ni kero zaidi ya kero kwenye mtaa, wanauza pombe za bia wakiwa hawana leseni pia pombe za kienyeji aina ya gongo na bangi wakati pombe hizi ni haramu kwa mjibu wa sheria...
  14. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Na Timotheo Mathayo, Dodoma. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma ya umeme...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma umeme. Makamba amesema hayo...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza bajeti ya elimu bila ada kwa asilimia 15

    Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23. Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
  18. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

    Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa. Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
Back
Top Bottom