Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,504
113,620
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.

Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.

Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.

Na kufuatia kuibuka kwa kada ya uchawa, huu uchawa umekuwa ukifanywa kwenye medani za siasa na machawa mara nyingi ni watu wa kawaida tuu, ma mediocre na uchawa wenyewe ni mediocrity lakini sasa uchawa umekubuhu, kumeibuka kundi la wanasheria machawa, wanaotetea madudu ya ajabu ya kisheria!.

Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza machawa wa kisheria kujitetea hii IGA ya ajabu ya DPW na Bandari zetu!, lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga hii IGA.

Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
  1. Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
  2. Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!. Hivyo msitegemee kama serikali yetu au Bunge letu Tukufu litajitokeza na kukiri makosa ya hii IGA!.
  3. Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
  4. Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, nilichofanya ni kuonyesha makosa na matundu ya mahali panapovuja. Ni jukumu la mwenye nyumba wetu kuziba hayo matundu, ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
  5. Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuipinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
  6. Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita ni fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
  7. Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia an international treaties with a legal person who has no capacity to contract. Hoja hii haijajibiwa popote, TLS wameikwepa, naomba hoja hii ijibiwe kikamilifu
  8. Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
  9. Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
  10. Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
Paskali.
 
Tanzania tuna hombwe la uongozi,sheria zipo hazifuatwi,wanasheria wapo hawatumiwi vizuri, yaani kila kitu kinae deshwa "kimagumashi".

Kuna muda natamani tungebinafsisha nchi nzima(turudi ukoloni kabisa),inawezekana tutajifunza upya namna ya kuthamini vya kwetu,kivitunza na kutovitapanya Kwa ulafi.
 
Leo mtaalamu umeongea Kisomi sana na kwa Hekima na Busara tele.

Umeongea bila Kejeri na umeeleweka vizuri sana.

Mungu aendelee kukutunza ili busara zako zisaidie jamii yetu siku zijazo

Mimi pia napenda sana uwekezaji wa popote pale hata iwe Ikulu, ilimradi uwe na nia njema kwa jamii yetu ya leo na kesho.

Leo umeongea kama Mungu Mwenyezi anavyo ongea.
 
DPW wamebadilisha kabisa uelekeo wa siasa za mama na imani ya watanzania wengi imegawanyika. sio yeye tu, bali hata wasaidizi wake wengi, kwa ufupi serikali nzima wamegawanya mitazamo na imani. kuna wanaoendelea kuwaamini na wale wamepoteza kabisa matumani.

Binafsi naona serikali haijachelewa kufanya the right decision ili kutuliza huu upepo.
kama nchi ingekuwa inafanya uchaguzi leo, athari ya huu mkataba ingeonekana dhahiri kwenye MASANDUKU YA KURA HATA KAMA WANGEJARIBU KUYACHEZEA

Naungana na pascal kwamba watanzania tuweke imani zetu kwenye KARMA.
 
SSS has been intensely weakened by DPW issue.

Ana machaguzi mawili na ambayo yote hatima yake ni kua tayari yameshamdidimiza.

1-Kua kama kenge, yaan Kenge hata Damu zimtoke masikioni, Huwa anakomaa tuu ..... Hii itakua faida Kwa Wahuni ,Timu Msoga, na DP world , matokeo ya hiii ni DPW kuamua Siasa zetu hususani Chaguzi Kwa miaka mingi isojulikana!!. Na hapa, sitoshangaa, uchaguzi wa 2025, vyombo vya Dola kutumia haswaaaaa ili kuhakikisha Wahuni wa bungen walounga mkono Mkataba Kwa kubwabwaja kisiasa wanarudi bungeni !!. Kwa Lugha ingine, ndio utakua uchaguzi mbovuuuu kuwahi kutokea Nchini !!.

Mnahisi bila Chaguzi hili ,Wapi PM? Wapi Spika? wapi Waziri husika na watu wake ??.

On the other hand, Watanzania watazidi kuwaona Hawa watu ni wasaliti, waahini, waloamua kutuuza, hivo itakua ni Serikali ambayo imepoteza uungwaji mkono Kwa wananchi .

Na Kama, Uchaguzi utakua huru na wa haki, basi Kwa pamoja tutarejea uchaguzi wa 2010, mwaka 2025 Upinzani utafanya vizuri kuliko wakati wote.

2-Chaguo la pili, ni hili la kuchutuma, kukubali kujishusha, na kukaa mezani na Watanzania na kuvunja Kisha kulianzisha upya suala hili ...... Naaam hapa ndipo Watanzania watajithibitishia kua Kumbe tuna watu wabovu, ila ni wajeuri tu ambao wanatupuuza , Chaguzi hili litamfitinisha na Timu Msoga, DPW na machawa kwakua hao wote watakosa pa kuweka sura zao .

Machaguzi yote mawili ,matokeo yake yako wazi kua tayari kapoteza !!!.

Cha kumshauri, achague Uchaguzi namba 2, alafu Asigombee 2025 !!.
 
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.

Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.

Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.

Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga IGA hii.

Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
  1. Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
  2. Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anaapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!.
  3. Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
  4. Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, ninachosema na ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
  5. Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuupinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
  6. Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
  7. Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia ana international treaties na a person who has no capacity to contract. Hoja hii ijibiwe kikamilifu
  8. Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
  9. Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
  10. Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
Paskali.
Usichanganye kujikosha na taaluma, kwa hiyo wewe wakili msomi ule ni Mkataba au Makubaliano? Usiwe una uma na kupuliza at the same time, unakosa integrity...Angalia nyuzi yako ilisemaje? Eti makubaliano, really?

Kusema ukweli watu wa jinsi yenu ndiyo ambao wame set hizi precedence za kuwafanya raia wote kama wajinga...Badala ya kutumia taaluma kusaidia uelewa unatumia taaluma kama dawa ya confusion kwa raia, ndivyo ambavyo watu wanakosa trust na kupelekea hata pale mnapokuwa sahihi kutoaminika.

Kama hao unaosema wajisahihishe, wewe mbona hukusema na mimi ulimi uliteleza nikasema ni makubaliano badala ya mkataba?
 
Unaendelea kuficha ficha mambo yaliyo wazi, sema ukweli ukuweke huru, serikali imekosea, Samia ametukosea watanganyika, na bunge limetukosea kuupitisha, wauvunje ule mkataba wa hovyo.

Kila siku unautetea ule mkataba wa hovyo, licha ya kuoneshwa mapungufu yake mengi sana, ajabu unaendelea kupotosha kwa makusudi huku ukijua fika serikali na bunge sio malaika, sasa kama unajua serikali na bunge sio malaika kwanini usiwaambie ukweli wamekosea?

Huna maana kabisa.
 
Ni muhimu mno nchi ikaendeshwa kwa sheria ambazo nyingi tumezitunga wenyewe, na pia ni muhimu kutenganisha jinsi hii mihimili yetu inavyotekeleza majukumu yake, Bunge liturgy sheria na Judiciary ndio wawe watafsiri wa sheria hizo, mara kwa mara huwa napitia news 24.com kwa Habari zilizotofauti na za kwetu, kuna aibu inakuja kwetu kama Taifa kuhusu tulivyomkamata yule Doctor wa kike kutoka SA pale Arusha (karibu na Kenyan border)je tulimkamata kihalali?,je tulim deport kisheria?,je all illegal immigrants tunaowakamata Tanzania tunawarudisha walikotoka bila ya kuwafikisha mahakamani?,why hii case ilikua tofauti?,tusubirie Apex court ya SA itasemaje, Tanzania tuelewe hakuna yeyote aliyejuu ya sheria zetu na wote regardless status yako tuishi kisheria, angalia kuhusu barabara zetu ,ni utemi tu wakati traffic laws zipo kwa kila mtumiaji wa barabara, why jwtz, such,st etc watumie hizi barabara as if ni madictator wa barabara?,someone LAZIMA awajibike na madudu haya ya mkataba wa Bandari
 
SSS has been intensely weakened by DPW issue.

Ana machaguzi mawili na ambayo yote hatima yake ni kua tayari yameshamdidimiza.

1-Kua kama kenge, yaan Kenge hata Damu zimtoke masikioni, Huwa anakomaa tuu ..... Hii itakua faida Kwa Wahuni ,Timu Msoga, na DP world , matokeo ya hiii ni DPW kuamua Siasa zetu hususani Chaguzi Kwa miaka mingi isojulikana!!. Na hapa, sitoshangaa, uchaguzi wa 2025, vyombo vya Dola kutumia haswaaaaa ili kuhakikisha Wahuni wa bungen walounga mkono Mkataba Kwa kubwabwaja kisiasa wanarudi bungeni !!. Kwa Lugha ingine, ndio utakua uchaguzi mbovuuuu kuwahi kutokea Nchini !!.

Mnahisi bila Chaguzi hili ,Wapi PM? Wapi Spika? wapi Waziri husika na watu wake ??.

On the other hand, Watanzania watazidi kuwaona Hawa watu ni wasaliti, waahini, waloamua kutuuza, hivo itakua ni Serikali ambayo imepoteza uungwaji mkono Kwa wananchi .

Na Kama, Uchaguzi utakua huru na wa haki, basi Kwa pamoja tutarejea uchaguzi wa 2010, mwaka 2025 Upinzani utafanya vizuri kuliko wakati wote.

2-Chaguo la pili, ni hili la kuchutuma, kukubali kujishusha, na kukaa mezani na Watanzania na kuvunja Kisha kulianzisha upya suala hili ...... Naaam hapa ndipo Watanzania watajithibitishia kua Kumbe tuna watu wabovu, ila ni wajeuri tu ambao wanatupuuza , Chaguzi hili litamfitinisha na Timu Msoga, DPW na machawa kwakua hao wote watakosa pa kuweka sura zao .

Machaguzi yote mawili ,matokeo yake yako wazi kua tayari kapoteza !!!.

Cha kumshauri, achague Uchaguzi namba 2, alafu Asigombee 2025 !!.
Nikupe tu moyo, it is well indeed!
 
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.

Nimekuwa busy na Saba Saba, leo ndio nimepata fursa ya kuandika kitu kuhusu hii issue kwa angle ya Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha makosa yake na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do on behalf of Watanzania!.

Mjadala kuhusu hii IGA ya DPW una sura 3, Kihalisia, Kisiasa na Kisheria
1. Kihalisia hapa nazungumzia material facts ya vitu vya ukweli na uhalisia kabisa vilivyopelekea Tanzania ikaribishe DPW kutusaidia kuendesha Bandari yetu. It's a fact kwamba Bandari yetu ndio the most potential na strategic port kwa nchi Afrika Mashariki kuhudumia eneo la maziwa makuu, lakini Bandari yetu ya Dar es Salaam imeshindwa kutumia fursa hiyo kutokana na uwezo mdogo wa nchi yetu kiuchumi kuimarisha Bandari yetu kiuwezo wa uendeshaji na kimitaji, hivyo nchi yetu ikawa inatafuta strategic partners wa kuungana nao, kutusaidia kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam, na ndipo akajitokeza mwekezaji DPW. Hivyo hakuna ubishi, kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi ni lazima tukubali kusaidiwa!. This is a fact, tena a bitter fact ni hata nyumbani kwako kwa mkeo, ukishindwa, ni lazima tuu utasaidiwa!. Hili nimelisema. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

2. Baada ya kutokea uhitaji wa kusaidiwa, kitu cha kwanza kabla hujasaidiwa ni kuwepo kwa a "Political Will" kukubali umeshindwa na unahitaji kusaidiwa. Hili likafanyika, japo mchakato wa upatikaji wa DPW haukuwa wazi, lakini wajuvi wa mambo ya haya makampuni makubwa, multilateral companies kama DPW wanapotaka jambo lao hutumia lobbying and advocacy ikiwemo kutumia ile 'universal language' kuwashawishi viongozi wa Africa, na kwa mambo ya bakhashishi, Waarabu ni wazuri sana!. Ndio vile mara Expo Dubai, mara free fully paid trips, mara free adverts kwenye ile Burg Al Khalifa!, mara... mara... kufunga na kufungua DPW hao nchini!. Baada ya IGA ya DPW kuridhiwa na Bunge letu Tukufu, wanasiasa wenye majina na ushawishi, wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanalumbana kwa hoja za kisiasa ana kuunga mkono hiyo IGA ama kuipinga, wakati wa mjadala huo, mimi kwa upande wangu nilitoa ushauri huu kwa Bunge letu Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

3. Hoja za Kisheria- Kwa vile IGA ni issue ya kisheria, na mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, niliweka hoja zangu mezani, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na wanasheria nao wanajitokeza wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wakiwemo manguli wabobezi na wabobevu, wengine wakipinga mkataba huo kwa hoja za kisheria wakiwemo TLS, na wengine wakiunga mkono.

Kwa kadri siku zinavyokwenda watetezi wa mkataba huu kisheria wanazidi kujitokeza lakini kitu cha ajabu katika utetezi wao, hawajibu hoja za kisheria zilizoibuliwa kuipinga IGA hii.

Bandiko hili ni la ushauri wa kimantiki kuumaliza mjadala huu kama ifuatavyo
  1. Mihilimili yetu mitatu, Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama zetu, sio Mungu na sio malaika kusema hazikosei!, kwenye hili la hii IGA ya DPW, kuna uwezekano mkubwa serikali yetu inaweza kuwa imetukosea sana!, na Bunge letu Tukufu nalo limetukosea sana kuiridhia IGA ya DPW DPW without any reservations.
  2. Kwa vile Bunge, serikali na Mahakama, ni mihilimili ni kama baba ndani ya nyumba. Baba ambaye ni kichwa cha nyumba, anaapokosea, inakuwa ni aibu kwanza kukiri tuu kosa kuwa umekosea, na hata unapona umekosea na kutambua makosa yako, ni vigumu sana kuomba radhi au kuomba msamaha!.
  3. Inapotokea hali hiyo, baba mwenye nyumba amekosea, sio lazima akiri, makosa na kuomba msamaha, lakini anapobaini amekosea, ana wajibu wa kurekebisha makosa kwa kufanya the right thing and do it right!.
  4. Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, ninachosema na ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
  5. Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuupinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
  6. Fani ya sheria ni moja ya fani ambayo mimi "naiita fani bahari" mwanasheria yoyote anaweza kutoa hoja yoyote na kuongelea ndani ya bahari ya kisheria kwa kina chochote as long as anajua kuongelea.
  7. Mimi pia kama mwanasheria, katika hoja zangu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nimeibua hoja moja kuu ya the capacity to contract, kwa Tanzania kama nchi, kuingia ana international treaties na a person who has no capacity to contract. Hoja hii ijibiwe kikamilifu
  8. Wakati nikiendelea kusubiria majibu ya kisheria kwa hoja zangu zakisheria kuhusu hii IGA, kwasababu imeleta maneno maneno na kelele nyingi, nashauri uwepo wa transparency kubwa kabisa kwenye HGA ya Bandari ili mambo kama ya IGA ya Bandari na DPW yasije yakajirudia kwenye HGA.
  9. Naomba nimalizie kwa kuzungumzia kidogo kitu kinachoitwa karma, licha ya kelele zote zinazopigwa kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari, Bunge limeziba masikio kwa Mkuu wa mhimili huu kutoa kauli za kujimwambafai, wakati serikali iko kimya bila kujibu hoja za kisheria zilizoibuliwa na watu na makundi mbalimbali wakiwemo TLS, naliomba Bunge na serikali yetu kujibu hoja, huku nikiiomba Mahakama kutenda haki.
  10. Serikali yetu, Bunge letu na Mahakama zetu zina wajibu wa kuwatendea haki Watanzania, wajibu huo sio favour, ni right, yaani sio hisani, ni wajibu. Natoa wito kwa Bunge letu, Serikali yetu na Mahakama yetu, hata kwenye hili la DPW na serikali yetu, Watanzania tutendewe haki, na Watanzania tusipowatendewa haki na vyombo hivi, the karma will do!.
Nawatakia Ijumaa Kareem. Wasalaam
Paskali.
Kimberly kuna muda zinakurudi akili zako au ni minimum ya was ukimaliza huwa inakusumbua?
 
  1. Kwenye hili la IGA ya Bandari na DPW, siwezi kusema serikali yetu na Bunge letu Tukufu wamekosea, ninachosema na ninachoomba toka kwa serikali yetu sikivu ni hoja zote za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria mbalimbali, zijibiwe kisheria na sio zijibiwe kisiasa.
  2. Kwa vile hoja zote makini za kisheria kuupinga IGA hii, zimetolewa kwa maandishi zikiandamana na vifungu, nashauri serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu kujibu hoja za kisheria, kwa majibu ya kisheria na sio majibu ya kisiasa.
Hakuna hoja zozote zitakazojibiwa, kubalini tu mmepigwa 'big time'.....Ccm imeonyesha dharau zake waziwazi kwa wenye nchi.

JokaKuu Nguruvi3 Kalamu
zitto junior
 
Ulitakiwa wewe utoe hoja hapa kuthibitisha kuwa watu sio wajinga,binafsi naunga mkono kipengele hicho, watu ni wapumbavu hasa middle class wangu
Nilitaka nisikujibu ila nikuambie tu msikilze Prof Shivji na Dr Nshala kwa mara nyingine kama hukuwa umewasikiliza au hukusikiliza vizuri wameshalitolea ufafanuzi ndio maana sina haja ya kujaza server kwa kurudia yaliosemwa na yapo humu.
Nikushauri usiite watu wapumbavu unaweza kuta wewe ndio mpumbavu kwelikweli.
Asante.
 
Huu mkataba wa DP WORLD umeamsha awareness kwa wananchi wengi wa Tanganyika! Tena mpaka wale wa kawaida kabisa, huku wakiamini serikali ya ccm imeuza/inataka kuuza bandari zote kwa Waarabu.

Sasa ikitokea serikali ya ccm ikatumia ubabe wake wa kila siku kwa kuwaruhusu hao Waarabu kumiliki bandari zetu, na baadaye ikabainika huo mkataba kweli una harufu ya u mangungo ndani yake; basi tutegemee vurumai siku za usoni.
 
Screenshot_20230714-100248.jpg
Kujisahau, kiburi, na kutosoma alama za nyakati ndio mtihani mkubwa kwa viongozi wa chama pendwa.
Mimi sijasahau 2015 kwa Mara ya kwanza CCM ilimtegemea mtu aivushe Bango Hilo hapo juu linanaonyesha jinsi chama kilivyo uza mtu na si chama Kama ilivyo kawaida,wamesahau sasa? Wanajiona hawahitaji nguvu ya umma Wala ya chama, Bali wanajiamini wao, moto walio uwasha sasa ndio waliouwasha huko nyuma jina CCM likabidi liandikwe kwa maandishi madogo kwenye mabango.
Ila kwa sasa Nina hofu simuoni mtu atakae tangulia Kama yule mwamba alikuwa ni samaki wa afadhari kwenye tenga la walio oza lakini aling'aa nao wakasema afadhari huyu,kwa sasa simuoni hata huyo wa afadhari,
kwani tumeamua kumpaka shombo hata huyo wa afadhari ili tufanane.
Laiti Kama wange usoma mchezo mapema wange mnusuru huyo wa afadhari wakamtoa jalalani haraka na kutoa kafara wanakondoo wawili watatu na kwa sababu wanajulikana sio tatizo kubwa, lakini kwa kuwa wameonywa nao wameshupaza shingo KARMA I malangoni Pao sitarajii wanirejeshe wakati ule iliponibidi kutupa t 👕 yangu kitaa na kubaki kwenye vest baada ya kuzomewa Kama hayawani sitakuwa pamoja nao nitakuwa upande wa watanzania.
Kwani kwa mara ya kwanza mpambano kati ya chama pendwa dhidi ya watanzania upo uwanjani.
 
Unaendelea kuficha ficha mambo yaliyo wazi, sema ukweli ukuweke huru, serikali imekosea, Samia ametukosea watanganyika, na bunge limetukosea kuupitisha, wauvunje ule mkataba wa hovyo.

Kila siku unautetea ule mkataba wa hovyo, licha ya kuoneshwa mapungufu yake mengi sana, ajabu unaendelea kupotosha kwa makusudi huku ukijua fika serikali na bunge sio malaika, sasa kama unajua serikali na bunge sio malaika kwanini usiwaambie ukweli wamekosea?

Huna maana kabisa.
Nikuunge mkono kwenye hili. Paschal amekuwannqntqbiq ya kuweka reservations kwa maslahi yake kwenye maandiko yake. Hataki kusema nyeusi ni nyeusi, atasema sio rangi hiyo bila kusema wazi sio nyeusi.

Tabia hii 8natufanya waTanganyika tuonekane watu wa jivyo na tusioweza lolote.
Ukweli haupingwi kwa ujanjaujanja, jambo la wazi ni kwamba Mkataba huu ni wa hovyo sana. Walio nyuma yake kimamlaka pamoja na taasisi zao wanatakiwa kuwajibika. Rais, mwanasheria mkuu, bunge. Hawa wanatakiwa kujiwajibisha. Ni bahati mbaya sana tupo hapa kwasababu CCM ni ukoo wa kambale, baba, mama na watoto wote wana sharubu, hakuna wakumwambia mwingine lolote.
 
Back
Top Bottom