serikali

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu). Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
  3. JamiiForums Tanzania Simiyu: Maafisa wa Serikali watuhumiwa kutumia gari la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupora Wakulima kwa silaha za moto

    Gari la Serikali la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lenye namba za usajili DFP. 9182 likitumiwa na Afisa Biashara Mkoa wa Simiyu, Mustafa Kimomwe (ambaye pia ni Afisa Ushirika) na maafisa wenzake, wamefanya unyang’anyi wa kutumia silaha za moto (bunduki) katika Ofisi za Vyama cha Kilimo na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Haiko Tayari Kuwakwamisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kushindwa Kufikia Malengo Yao

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - SERIKALI HAIKO TAYARI KUKWAMISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUFIKIA MALENGO YAO Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inatekeleza jitihada mbalimbali katika kuhakikisha inaweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji...
  5. JamiiForums Tanzania Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye. Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali za Kijeshi za Mali na Niger Zapanga Kuungana Kuukabili Uvamizi wa Kijeshi wa Magharibi na ECOWAS

    Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao. Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali itoe pole tena kwa Wanafunzi waliozama Ziwa Victoria

    Naandika Kwa uchungu sana, miezi michache iliyopita Kuna wanafunzi walizama hapa Kigoma Kwa mtumbwi. Leo Tena tukio kama Hilo limetokea, kama kawaida Viongozi wa CCM na Serikali watalitumia Tukio hili kupata political mileage. Dah --- Shughuli ya kutafuta watu 13 waliozama ndani ya Ziwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

    1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...! 2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kipi kinaizuia Serikali kunitangaza kuwa binadamu kivuli?

    Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa mimi ni kiziwi. Askari mgambo hawa wanalazimisha kuzungumza na mimi kwa amri tu kama vile wanaongea...
  10. JamiiForums Tanzania Kivipi Serikali imebadilisha madeni yake TANESCO kuwa hisa?

    Inaelekea wanaoongoza TANESCO kwa sasa mama anawabeba kwa mbeleko kama watoto wake wa kuwazaa. Shirika la TANESCO ni mali ya Serikali kwa asilimia 100. Sasa anapokuja huyu Maharage na waziri wake Makamba kutuambia eti madeni ya Serikali yanageuzwa hisa ndio nini maana yake? Si bora wangesema...
  11. JamiiForums Tanzania Atupele Mwakibete: Serikali haibinafsishi Bandari kwa mwekezaji, anakodishiwa

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa mwekezaji. Akizungumza jijini Mwanza Julai 30, 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi...
  12. JamiiForums Tanzania Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  15. JamiiForums Tanzania Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kama kuna mikutano inayozungumzia mikataba mibovu basi kusiwe na ubaguzi.Muda umefika sasa wa kuitaja mmoja mmoja. Mengine irekebishwe na mingine ipo haja ya kuvunjwa mjoja kwa moja Mpaka sasa wale wanaokosoa mkataba wa bandari naona wamekaa kimya kwa mkataba ule wa kanisa na serikali wa mwaka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

    WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media. Kwa miaka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
  18. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…