serikali

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu, mwanamke anayejitolea kukumbatia watoto niti waliotelekezwa katika Hosptali ya rufaa ya mkoa Amana jijini Dares Salaam. Ajira hiyo imekuja siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama Akabidhi Msaada wa Serikali wa Kibinadamu Nanyamba na Tandahimba

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) imetoa misaada ya kibinadamu kwa kaya 184 za kata ya Kitaya Halmashauri ya wilaya ya Nanyamba na kaya 160 kwa kata ya Michenjele Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba. Zoezi hilo limeongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali siyo wazazi wetu bali ni watumishi wa umma

    Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa. Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu: Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Suala la mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP World katika jicho la ujasusi

    Habarini wana JF Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
  6. Leak

    JamiiForums Tanzania MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

    Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

    Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki hii. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Prof. Kithure Kindiki na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

    17 July 2023, Washington Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...
  11. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma: Wananchi wanakosa imani kwa Serikali kutokana na matumizi yasiyoeleweka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewafungia baadhi ya wazabuni ambao wamekuwa wakikikiuka mikataba ya ununuzi, kujihusisha na vitendo kinyume na maadili ya sheria za ununuzi wa umma. Ukosefu wa uwazi katika mchakato wa ununuuzi wa umma kunasababisha changamoto za upatikanaji wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo waliodhulumiwa na serikali!!

    MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha habari. Business Times Ltd (BTL). Newsroom yenye hadhi. Nilivutiwa na chumba kikubwa cha wachoraji. Kizuri sana, kiliundwa kwa vioo. Kila kijana mwenye kipaji cha kuchora, alipaona...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  15. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali

    Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Katazo la Maandamano ya UVCCM ni Mkakati wa kuja Kukataza Maandamano ya Wanaopinga Serikali siku zijazo

    Wakuu, Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World? Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
  17. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Nataka Serikali moja tu ya Muungano, sitaki mbili wala tatu

    Utanganyika na uzanzibari imeanza kusikika, wenye mamlaka nao wamekaa kimya hawataki kukemea ubaguzi huu unaoendelea nchini. Tulishaungana tangu 1964, hakuna serikali ya TANGANYIKA wala ya Zanzibarinatikiwa iwepo hadi leo,tumewezaje kuungana bila serikali kuungana, Zanzibar inakuaje na...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
Back
Top Bottom