serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali kuchukua hatua kutatua migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi

    SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali imekuwa inachukua hatua...
  2. K

    DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  3. H

    SoC03 Kuboresha huduma za afya katika hospitali za serikali

    Simulizi: Siku moja, nilipokea simu kutoka kwa kaka yangu na sauti iliyosikika ilikuwa ya wasiwasi kabla ya simu kukatika ghafla. Nilijaribu kupiga simu mara kadhaa, lakini hakuna aliyepokea. Baadaye, muuguzi kutoka hospitali moja ya serikali huko Sinza alipokea simu. Nilikwenda haraka na...
  4. benzemah

    Serikali kutumia bilioni 500 kujenga vituo vya kupoozea umeme

    Katika bajeti ya mwaka huu Serikali imetenge Shilingi bilioni 500 ambazo kupitia mradi wa Gridi Imara itajenga vituo vya kupooza umeme katika maeneo 13. nchini. "Kwenye maeneo yenye shida zaidi, tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita imetoa fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi wa gridi kwenye...
  5. BARD AI

    Julius Malema ataka Serikali ijitoe kwenye Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC)

    Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Nchini #AfrikaKusini amesema Taifa hilo halifungamani na upande wowote hivyo, kitendo cha hivi karibuni cha Mahakama ya #ICC kutoa kibali cha kumakatwa kwa Rais #VladimirPutin wa Urusi ni matakwa ya Mataifa ya Magharibi. Pia, Malema amesema kama angekuwa...
  6. L

    Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni. Watalaam mbalimbali...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Suluhisho la maisha ya kuungaunga kwa watumishi wa umma haliko mikononi mwao bali liko mikononi mwa Serikali

    Salamu tawapa mchana! Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa kabisa kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya shughuli za serikali anazopangiwa na mwajiri wake...
  8. M

    Rais Samia tusaidie tusiporwe ardhi yetu na serikali yako

    Ni mgogoro wa muda mrefu toka 1974 wa kipande cha ardhi cha hekari 67 uliotatuliwa na Kumalizwa na Mheshimiwa Lukuvi aliyekuwa Waziri wa ardhi. Taasisi ya kilimo Uyole ilishindwa kuwalipa fidia wananchi wa Sae jijini Mbeya zaidi ya 300 katika ardhi waliyokuwa wakiitumia tokea mababu kwa kilimo...
  9. TheForgotten Genious

    Sielewi mpango w serikali katika kuchochea maendeleo ya sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi

    Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
  10. Idofu

    Ushauri wangu kwa Balozi Sirro

    Ni kuwa ni bora Uchutame, Serikali nzima wanajua nini kilitokea kwenye kwenye Mfuko wa Kufa na Kuzikana,na pia ni nini kilitokea kwenye Mfuko wa Tuzo na Tozo!! Ni kuwa mpaka Mh.Rais anakuondoa kwenye nafasi yako alikuwa amejiridhisha kwa kile kilichotokea!! Vile vile,umedanganya kuwa ulimtuma...
  11. BigTall

    Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

    Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya. Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
  12. ommytk

    Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

    Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
  13. JanguKamaJangu

    Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

    Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha. Baadhi...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Serikali iunde Dna Database ili kukabili uhalifu sio kutumia pesa za uma kwa anasa na miradi ya kifasadi ya vibopa wa CCM.

    Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma. Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
  15. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Pius Chaya ameomba Serikali kupeleka chuo cha uuguzi na ukunga kwa ngazi ya astashahada

    MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma. Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali yatakiwa kukamilisha Ujenzi wa Miradi kwa Wakati

    SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu. Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inatambua kuwa Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke. Hayo yamesemwa leo Mei 22,2023 Jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Barabara ya Musoma - Makojo - Busekera 2023/2024

    SERIKALI KUJENGA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KWA AWAMU MBILI (Bajeti ya Wizara ya Ujenzi & Uchukuzi, 2023/2024) Urefu wa barabara Kilomita 92 Sehemu zenye lami Musoma Mjini-Buhare: km 5.9 (Eneo lote hili liko ndani ya Manispaa ya Mji wa Musoma) Kusenyi-Kwikonero: km 5 (Eneo lote hili...
  19. Erythrocyte

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  20. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
Back
Top Bottom