serikali

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Serikali ya Marekani(2006) walipokabiliwa na maswali juu ya DP WORLD

    DP World: Myth Vs. Facts MYTH: The Bush Administration is outsourcing the security of our ports to a company owned by the Government of Dubai in the United Arab Emirates (UAE). FACT: The United States government is in charge of U.S. port security. We will never outsource the security of our...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

    Profesa Makame Mbarawa amekuwa akisema DP world ilipewa mkataba wa bandari kwa kuwa ilishinda kwenye kuomba zabuni ya uwekezaji wa Bandari (akidai ikizishinda kampuni zingine saba) na wakati huo huo document za mikataba ambazo zimetiwa saini na Professor Mbarawa huyo huyo zinaonyesha DP world...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA miaka yote wameweza kuwa na safu nzuri ya wataalamu kwenye hoja kuliko Serikali? Wanapataje wataalam wao?

    Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa. Lakini jambo la pili...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya Awamu ya 6! Hongera CCM! Hivi ndo mnavyopaswa kwenda

    Kwa muda mrefu sana, Maendeleo ya Tanzania yamekuwa yakirudishwa nyuma na mambo mbalimbali ikiwemo 1. Hujuma kutoka mataifa jirani 2. Hujuma za wafanyabiashara wakubwa 3. Ujinga wa Watanzania Kusema ukweli tangu nimeanza kupata akili nimesikia mipango mingi sana ya nchi yetu ambayo mwisho...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Serikali iwachukulie hatua wote walioliingiza Taifa katika Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amesema Mkataba huo ni Mbovu, haurekebishiki na umelidhalilisha Taifa kwa uamuzi wa Watu wachache ambao wanapaswa kuchukuliwa hatua za Kisheria Akitaja Maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho amesema Bunge linatakiwa kufuta Azimio lake la kuridhia Mkataba wa...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

    Wakuu, Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa. Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

    Wanabodi, Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

    Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yavuna Bilioni 340 toka Barrick

    SERIKALI imesema imeshapokea Dola za Marekani milioni 140 (zaidi ya Sh. bilioni 340) kutoka kwa kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick ikiwa ni makubaliano waliyoingia na serikali. Katika makubaliano ya mapitio ya mkataba wa kampuni hivo na serikali, Barrick watatoa Dola bilioni 300 na fedha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

    .
  15. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  16. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kama Wakenya wanalalamika kuhusu DP World, kuna haja ya Tanzania kuendelea nao?

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nusu ya utajiri wa Jack Ma washuka baada ya kuzikosoa Mamlaka za China

    Takwimu zinaonesha kiwango hicho kimeshuka ndani ya kipindi cha miaka mitatu tangu alipotoa kauli za kukosoa na kupuuza mamlaka za fedha za China pamoja na Benki. Ripoti ya Mabilionea ya Bloomberg imesema Utajiri wa Ma ni Dola Bilioni 30, wakati Mwaka 2020 ulikuwa ni Dola Bilioni 61.2 kabla ya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  20. The Shah of Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Huku Dkt. Slaa, kule Silaa. Serikali Inaendeleza Vioja

    Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika. Jerry Silaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa. Headline za magazeti pamoja na zile...
Back
Top Bottom