serikali

  1. Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
  2. Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  3. Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
  4. I

    Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  5. R

    Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  6. Hivi naomba kuuliza hivi kuwa kiongozi wa dini kunaondoa sifa ya kuwa raia na kukosoa serikali?

    Habari wanajf, naomba kuuliza watu hasa Watanzania wanalalamika kwamba kwa nn TEC wanakosoa kuhusu bandari kuwekezwa na DP word. Sasa maana ya kuwa kuwa kiongozi wa dini maana yake Ni kukubali kila kitu hata Kama Ni kibaya unapaswa kufunga akili????????? Lakini je kuwa kiongozi wa dini...
  7. R

    Mabadiliko makubwa ya viongozi wa serikali yakamilika; yatawagusa pia viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama

    Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais Sambamba...
  8. U

    Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

    Ni hatari sana.. Kuna kila dalili kuwa, baada ya tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), vita ya skandali la bandari inakwenda kuchukua sura nyingine kati ya kikundi kilichomo ndani ya serikali kilichotengeneza uchafu huu na Kanisa la Mungu. Na bila shaka TEC imetangulia tu na...
  9. Sisi kama Jamii tujadili namna ya kuwasaidia vijana wanaofeli shule na kuachwa mitaani

    Umuofia kwenu, Nguvu ya Taifa lolote ni vijana. Nchi inaweza kuwa na advancement kubwa kwenye teknolojia na sekta zingine lakini kukiwa na ombwe la vijana kwenye jamii ama nchi hiyo ni kujiweka rehani. Vijana wa jamii yeyote huandaliwa kushika hatamu pale wazee ama wazazi wao wanapoishia...
  10. Hii Serikali imeteletekeza vijana waliokwenda shule

    Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi. Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za...
  11. Serikali yachangia ujenzi wa Shule Shikizi ya Kitongoji cha Nyasaenge cha Musoma Vijijini

    SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini. Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
  12. Serikali haina fedha? Wakandarasi wadaiwa kuanza tena kulalamikia malipo!

    Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena. Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi. TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na TARURA ndio watekelezaji wakuu wa miradi ya ujenzi, hasa ya barabara. Lakini invyoelekea Taasisi hizi...
  13. Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  14. S

    Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
  15. Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  16. Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  17. K

    Ushauri kwa Serikali kwa mambo ya nje hasa Balozi

    Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze 1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na ofisi zetu za balozi lakini kuchagua watu ambao wanauzoefu wa biashara, uwekezaji na ushawishi...
  18. R

    Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  19. R

    Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  20. S

    Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

    Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu. Hivyo, ningependa kujua uhaini ni kitu gani hasa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…