sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa kwa mageuzi makubwa Sekta ya Afya

    Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO). Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Misingi ya kuboresha afya

    Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Amana, Kivule hutakasa vifaa tiba kwa maji ya Bomba na kuvianika juani

    Wakuu, Hii ni hospitali ya Amana, Kivule. Vyombo vya kuhudumia wagonjwa na kufanyia upasuaji vinasafishwa kwa maji ya baridi ya bomba bila hata kufuata taratibu sahihi za kuvitakasa. Huu ni uzembe wa hali ya juu, haiwezekani vifaa hivi vioshwe kwa mtindo huo, vianikwe juani kisha mtu mwingine...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?

    SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini? Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  5. machoo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tuangamize Utata wa Watumishi katika Sekta ya Afya: Kuelekea Uboreshaji wa Huduma za Afya Tanzania

    Mheshimiwa Ummy Mwalimu: Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji: Suluhisho la Changamoto za Sekta ya Afya na Ubora wa Huduma za Afya

    UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania? Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Mitihani ya Usaili kwa Waajiriwa katika Sekta ya Afya

    Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  9. Bakari20

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya

    Andiko la Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya. Utangulizi: Sekta ya afya ni muhimu sana katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ili kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma, utawala bora na uwajibikaji ni muhimu. Andiko hili linalenga...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

    Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya. Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates...
  12. mvuvimvivu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz. Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iangalie Maslahi ya Watumishi Sekta ya Afya

    MBUNGE FESTO SANGA - SERIKALI IANGALIE MASLAHI WATUMISHI SEKTA YA AFYA Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga aomba Wizara ya Afya kuangalia maslahi ya watumishi sekta ya Afya, wanafanya kazi ngumu na katika mazingira ambayo wengi wetu hatuwezi. Wanapigania Uhai wetu, maslahi yao yaangaliwe...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  17. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwe na Wahasibu Maalumu katika Sekta ya Afya

    UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
  18. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Tuna jambo letu wadau wa sekta ya afya

  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

    MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/- 3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/- 4. Zahanati ya Itunduru...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa China katika sekta ya afya ya umma barani Afrika unaendelea kutukuzwa na wenyeji

    Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
Back
Top Bottom