DOKEZO Hospitali ya Amana, Kivule hutakasa vifaa tiba kwa maji ya Bomba na kuvianika juani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
128
421
Wakuu,

Hii ni hospitali ya Amana, Kivule. Vyombo vya kuhudumia wagonjwa na kufanyia upasuaji vinasafishwa kwa maji ya baridi ya bomba bila hata kufuata taratibu sahihi za kuvitakasa.

Huu ni uzembe wa hali ya juu, haiwezekani vifaa hivi vioshwe kwa mtindo huo, vianikwe juani kisha mtu mwingine ahudumiwe kwa vifaa hivyo hivyo.

Kumbuka, hata upasuaji huhusisha vifaa hivyo hivyo.

Serikali iwajibike, lakini zaidi ichukue hatua kali dhidi ya wahusika.


Pia soma:
 
Af hapo utaona wanatoa li tamko kupitia wah-ziri, rhen next step chaap wanaenda kumfukuza kazi huyo mams instead ya kuhakikisha kuna mifumo na miundo sahihi kuhandle hizi shida.
 
Wewe umeona lini hayo weka picha .nje ya hapo wewe muongo unayobifu na Incharge wa kituo hicho tu .
 
Back
Top Bottom