sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

    Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu zinazolindwa zaidi Duniani

    ZIFAHAMU SEHEMU SABA HATARI ZAIDI DUNIANI KATIKA MAISHA YAKO. Kwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinalindwa zaidi duniani ni Benki,Ikulu,kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana Benki hizo. Leo nakuletea sehemu saba...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza. Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  5. JamiiForums Tanzania Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  7. JamiiForums Tanzania Amuua binamu yake kwa mshale wakigombania sehemu ya kuchaji simu

    Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao. Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat...
  8. JamiiForums Tanzania Love bite sehemu ya kwanza

    LOVE BITE ♥️🔥 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe. Wengi ambao walikua wanapenda taarab basi walijazana travertine hotel kuwaangalia jahazi. Kwa wengine wanaopenda bongo...
  9. JamiiForums Tanzania Mkufu wa Shani - Sehemu ya 2

    MKUFU WA SHANI (2) IMETUNGWA NA BEKA MFAUME [The Greatest] ILIPOISHIA Kabla hajateremka kutoka kwenye gari ambalo tayari lilishaegeshwa kwenye maegesho ya nyumbani na mume wake aliyekuwa akiliendesha, Shani akaingiwa na hisia kuwepo na hitilafu shingoni kwake. Hisia hizo zikaenda sambamba na...
  10. JamiiForums Tanzania Ifike sehemu jamii Itafute mbinu mbadala ya Kuwafunda dada zetu

    Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja. Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rwanda husifiwa kuwa mji mzuri hapo Kigali ila hii sehemu hata siku moja hawatangazi

    Kwa mtu ambaye Rwanda hujafika na jinsi inavyotangazwa unaweza kusema haina kasoro. Kila sehemu duniani kuna kasoro mfano Nairobi-Kibera, Dar-Mwananyamala na n.k Sasa huko Rwanda Kigali
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa kichwa?

    Eti wakuu ni kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa? Yaani hata wazungu wanaiita kichwa. Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili. Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume. Nisaidieni mawazo.
  13. JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

    Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi...
  16. JamiiForums Tanzania Pitio la kitabu cha Khamis Abdulla Ameir sehemu ya tatu na ya mwisho

    PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’ SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO Kila msomaji atachokisoma katika kitabu hiki kinatoka kwa mtu wa kuaminika ingawa wakati mwingine unaweza kuona tofauti ya taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi? Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia. Natanguliza shukurani
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

    Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata. Ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

    Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy! Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…