sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  3. comte

    JamiiForums Tanzania Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

    Kwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dr. Luhende: Fanyeni mahala pa kazi pawe sehemu salama katika utendaji wa kazi

    BARAZA LA WAFANYAKAZI KUWEKA MAHALA PA KAZI SEHEMU SALAMA ❖ Wajumbe Wajengewa Uelewa Umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi ❖ OWMS Kuhamia Dodoma Mwaka Huu Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabia nchi yameleta athari gani sehemu unayoishi?

    Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa kubwa mno ikiwemo Joto kali lisilostahimilika, Mafuriko yanayoharibu makazi na miundombinu, Ukame unaosababisha kupotea kwa rotuba ya ardhi na Kuzorota kwa sekta ya kilimo. Katika kupaza sauti juu ya suala hili ambalo linahitaji nguvu kubwa ya wadau...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya. Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter inafanya majaribio kuwa na sehemu ya video inayofanana na Tiktok

    Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha. Twitter imetangaza mabadiliko mawili ambayo yanafanana kabisa na TikTok na Instagram Reels. 1️⃣ Twitter inaweka sehemu ya “Video...
  8. Amina68

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

    Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa! Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA Pia soma: Thread 'Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija' Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija
  9. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

    Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja. Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu...
  10. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  11. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Katazo la ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu sehemu za kazi

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu. Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
  12. Codexdave

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya office

    Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu sehemu salama za kuhifadhi wosia?

    Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia: 1. Benki 2. Mahakamani 3. Kwenye ofisi ya mwanasheria 4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
  14. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Fahari ya nchi yetu, ni sehemu gani ulivutiwa au unakerwa nayo uliposafiri kwa Basi au gari binafsi

    Ndugu wanajf habari, binafsi ninaposafiri navutiwa Sana na baadhi ya maeneo japo mengine yanakera Ninayoyapenda  Unaposafiri barabara ya Kutoka Dar kwenda Moro Kuna kasehemu kana msitu unapotoka bwawani Kuna kamsitu kazuri na kanavutia barabara yake nzuri. Pia ukifika Moro zile safu za milima...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kujifunza ufundi Kilimanjaro

    Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
  16. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ipi sehemu nzuri kujenga na kuishi?

    Habari zenu wana JamiiForums! Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya; 1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa) 2. Kimara 3. Mbezi mwisho 4. Kitunda 5. Goba Hivyo viwanja maeneo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Instagram inafanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya “Repost”

    Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost. Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter. Ku-share post ambayo sio...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  20. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia

    Ndugu zangu nimekwama, tena nimekwama haswa. Nimegadhibika pasina mfano 😠😡, mimi si mtu wa kwenda vilingeni ila kwa hili Mola wangu anisamehe sana. Shambani nina minazi takribani 100 ila siambulii kitu, Hawa waduwanzi naona sasa wanaleta mazoea yasiyovumilika. Zamani kila baada ya miezi mitatu...
Back
Top Bottom